Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule balozi wa marekani anaenjoy sana,anafika mpaka uswazi huko,siku ya kuondoka yule anaweza kulia 😀watu hawaamini ila ndio ukweli unashangaza sana.
juzi naongea na jamaa mmoja anafanya kazi ubarozi,anakwambia hakuna kitu kigumu kama afisa wa ubarozi humo kuambiwa anatakiwa aondoke nyumbani muda umekwisha,huwa wanalia sana.
miaka ya nyuma alidhani ni sababu ya mazoea,ila hali imeanza kuwa inamshangaza maana hata wale walioinyesha kupakataa baada ya kuingia tu,hali hugeuka hivi siku ikifika.
Jamaa katembea nchi nyingi sana afrika,ila alipofika bongo kaamua kukita kabisa,na anawaleta wenzake kwa makundiGoblack2africa youtube
Huyo ndio amefika hivyo, kanunua mpka nyumba huko huko Zenji. Nafikiri ndio jamaa mwenye content nzuri huko youtube ukilinganisha na wengine.Jamaa katembea nchi nyingi sana afrika,ila alipofika bongo kaamua kukita kabisa,na anawaleta wenzake kwa makundi
African Americans wanananunua ardhi ya Tz kwa sheria ipi?Wapo mkuu.Kigamboni kuanzia Kimbiji Mpaka Buyuni wamenunua viwanja Sana.
Kuna dada zao wanaolewa pia,hasa vijana wa chuga wanawahifadhi sanaHuyo ndio amefika hivyo, kanunua mpka nyumba huko huko Zenji. Nafikiri ndio jamaa mwenye content nzuri huko youtube ukilinganisha na wengine.
Inabidi iwe hivyo. Hakuna namnaKuna dada zao wanaolewa pia,hasa vijana wa chuga wanawahifadhi sana
Jibu swaliMimi ni hohehahe! Sina cheo chochote! Maskini wa kutupwa! Hata nisipozikwa ni sawa tu Mkuu!
HakikaYule balozi wa marekani anaenjoy sana,anafika mpaka uswazi huko,siku ya kuondoka yule anaweza kulia [emoji3]
wana enjoy sana tu mkuu, ingia youtube uonewanavyo hamasisha wenzao waje kuishi Tanznia au Africa. Wanasema maisha ni raisi mno bei za vyakula na kodi za nyumba ni cheap sana kulinganisha na hook kwao.Hao wamekuja kutalii tu, baada ya miaka 2 au 3 wanarudi kwao. Maisha ya bongo tofauti sana na kwao, ni wachache watakaoweza kuhimili. Afterall kwa kipi hasa walichokosa kwao?
Hilo nililokupa ni JAWABU?Jibu swali
Hee! Raia wa nje ananunua eneo?Nasikia ndiyo wamehamia. Baadhi yao wameanza kununua maeneo kwa ajili ya kilimo na kujenga.
Ulalamishi unasaidia kutoka kwenye umasikini. Wewe uko hapa bongo hulalamiki lakini upo kwenye tatizo moja miaka nenda rudiUmeelezea vizuri sana.
Japo pia walalamishi sana, nadhani wanataka kila kitu perfect.
Pengine serikali ifikirie kuwatengea eneo au wanaloweza kununua bila masharti ya kupitia TIC au kuwalegezea masharti, watasaidia kuleta mitaji ya fedha za kigeni wanapata changamoto ya kuishi nchini kwa muda mrefu wanapaswa kurenew visa kila baada ya miezi mi3 kwa kutoka nje ya nchi.