The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 4,389
- 6,665
Hapo mama yupo kijijini amelalia mnafu usio na nyama, huku mjini mtoto wake anachomea watu nyamaHii ni kwa ajili yako mtoto mzuri Joannah ,Kiukweli wewe ni mwanamke uliyeko moyoni mwangu,kuanzia huo unywele wako mrefu,lips,kiuno hadi guu la byeeeri.
Nimeandaa fungu zito kwa ajili yako mrembo na mtoko huu utakuwa ni kwa wiki nzima na kwakuwa ni mtoko mfupi basi tutaelekea pale hifadhi ya Ngorongoro kwenye Hotel nzuri ya SOPA LODGE.
Utapata huduma zote anazopaswa kupewa mwanamke na kwakuwa utakuwa umetoa muda wako kwangu kwa wiki nzima basi nitahakikisha kila siku nakulipa laki 5,hiyo laki 5 itakuwa nje na mahitaji utakayo kuwa ukiyahitqji ikiwemo,nguo,simu kali,viatu,mikoba n.k.
Jiandae mama.
Kwako Joannah
Stress za maisha yako zisikufanye ukadhani sote humu tuna akili ulizonazo wewe,kama mama yako yuko kijijini usidhani mama za watu wote humu huishi vijijini!.Hapo mama yupo kijijini amelalia mnafu usio na nyama, huku mjini mtoto wake anachomea watu nyama
Hivi nini nani aliyewaloga??
Hayo atayajua yeyeUnamjua? Je kama ni mwanaume anatumia ID ya kike! Au mwanamke ambae ana mume wake!
Mimi kama kaka yake kawaida ukimualika dada lazma pia kaka anakuwa pembeni yake so jiandae kuandaa za watu wawili izo gharama....au nakosea@Joannah
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukimtongoza mwanamke hakikisha una picha yake mtakuja kukimbiana humu kama vifaru [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dada mkubwa Joannah kuna mtaji huku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee[emoji2][emoji2],, hiyo hela sio ya kuiacha Joannah
Abhandu bhakonyofu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jaman
Nilijua ntakukuta humu kaka Elli[emoji23]Mkuu mimi na wewe tusiingiliane kabisa kwenye himaya zetu.[emoji1787]
Kwamba mrembo Joannah ndio ameshapendwa tayari.
Kwani ndio mama J...π³Acha ujinga,Shemej yako uyo[emoji4]
Ila watu [emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]Mtoa mada nikopeshe 1.5m ntairejesha ndan ya miezi 3 mkuu natanguliza uaminifu wa hali ya juu boss πππ
alafu dada yangu mpaka sasa hajajitokeza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]alafu dada yangu mpaka sasa hajajitokeza
naona anavuta subira huenda dau likapanda zaidi maokoto yakawa mengi tena location huenda ikawa dubai[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anapishana na mtaji au siyo