Naomba nikutoe "OUT" Mrembo Joannah

Naomba nikutoe "OUT" Mrembo Joannah

Ukimtongoza mwanamke hakikisha una picha yake mtakuja kukimbiana humu kama vifaru [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kuna mtu yalimtokea, kaleta Uzi, huyo mdada akumtaja jina lakini.
 
Stress za maisha yako zisikufanye ukadhani sote humu tuna akili ulizonazo wewe,kama mama yako yuko kijijini usidhani mama za watu wote humu huishi vijijini!.

Tafuta pesa acha Makasiriko,pesa zangu nimeamua kuzitumia nitakavyo kama unataka kuchukua sehemu ya Joannah wewe sema
Wamarekani weusi huwa wanasema broke usssss niggers, mkono mtupu haulambwi braa, tafuta ela mtoto wa watu atakuuwa kwa degedege
 
Cute Wife Amehlo ebu njoeni ndugu yetu ameshapata mtaji wa biashara na akikataa tunampeleka kilazima Joannah uko wapi kwani
🤣🤣🤣🤣 wewe hii ilinipita veeepee kwanza?? Yaani dada Joannah hizi pesa zikitupita sitokuelewa abadani!!!!!!!!

Yeye atake, asitake harusi tunayo. Shem asijali mke umepata hata kwa winch tutamtoa 🤣🤣🤣🤣🤣

Tunataka mashemeji wenye mipesaaa yao sisi
 
Back
Top Bottom