Naomba nikutoe "OUT" Mrembo Joannah

Naomba nikutoe "OUT" Mrembo Joannah

Hii ni kwa ajili yako mtoto mzuri Joannah ,Kiukweli wewe ni mwanamke uliyeko moyoni mwangu,kuanzia huo unywele wako mrefu,lips,kiuno hadi guu la byeeeri.

Nimeandaa fungu zito kwa ajili yako mrembo na mtoko huu utakuwa ni kwa wiki nzima na kwakuwa ni mtoko mfupi basi tutaelekea pale hifadhi ya Ngorongoro kwenye Hotel nzuri ya SOPA LODGE.

Utapata huduma zote anazopaswa kupewa mwanamke na kwakuwa utakuwa umetoa muda wako kwangu kwa wiki nzima basi nitahakikisha kila siku nakulipa laki 5,hiyo laki 5 itakuwa nje na mahitaji utakayo kuwa ukiyahitqji ikiwemo,nguo,simu kali,viatu,mikoba n.k.

Jiandae mama.

Kwako Joannah
Hapo mama yupo kijijini amelalia mnafu usio na nyama, huku mjini mtoto wake anachomea watu nyama


Hivi nini nani aliyewaloga??
 
Hapo mama yupo kijijini amelalia mnafu usio na nyama, huku mjini mtoto wake anachomea watu nyama


Hivi nini nani aliyewaloga??
Stress za maisha yako zisikufanye ukadhani sote humu tuna akili ulizonazo wewe,kama mama yako yuko kijijini usidhani mama za watu wote humu huishi vijijini!.

Tafuta pesa acha Makasiriko,pesa zangu nimeamua kuzitumia nitakavyo kama unataka kuchukua sehemu ya Joannah wewe sema
 
Back
Top Bottom