Naomba nikutoe "OUT" Mrembo Joannah

Naomba nikutoe "OUT" Mrembo Joannah

Joanah kabakia kwenye chart kwa muda mrefu...nilijua uzuri umemwisha.
 
Haya nifate upate kitu kizuri, umeyataka mwenyewe, hata Joannah atasema huyu legend mbona hivi...[emoji1787][emoji1787]
Nashangaa unataka kupishana na gari la mshahara bro
Halafu baadaye utakuja kulalamika humu kuwa hunaga bahati
 
Back
Top Bottom