Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
1.Nataka uniambie mwandishi wa hiki kitabu ni nani?Mkuu nibembelezeeni mwenzenu,namuhitaji mno na kama vipi mashemeji mtaniambia nini mnataka ili nikamilishe!.
2.Huyo baba anaitwa nani?
3.Huyo pembeni yake ni nani yake?na anaitwa nani?
4.Ni mtawala wa kabila gani?
5.Nini kilimkuta kwenye safari yake?
Hebu fafanua hii kwanza nione kama we ni Legend kama ERoni usije niletea shida huko Ngorongoro