Naomba nikutoe "OUT" Mrembo Joannah

Naomba nikutoe "OUT" Mrembo Joannah

Mtoto Joannah Nasubiri ukubali wako mama,nipo nakusubiri wewe kama itawezekana niweke booking ya flight Air Tanzania to Kilimanjaro.

Natumai utanijibu
 
Marahaba mdogo wake,
M
Kwa kweli huyo uliyempata nampa kongole sana!🤣
😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Ni kazi tu zimenibana kaka Elli
Hakuna Cha niliyempata wala Nini🤣

Si unajua kazi za wahindi tunafanya kazi kama mazombie.,hata muda wa kupumua haupo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni kazi tu zimenibana kaka Elli
Hakuna Cha niliyempata wala Nini[emoji1787]

Si unajua kazi za wahindi tunafanya kazi kama mazombie.,hata muda wa kupumua haupo
Aaah wapi! Huyo jamaa tumpe maua tu hakuna jinsi.[emoji1787]
 
Hilo jina lako unatutishia tusicomment(tusitukane)? Usitutishe inawezekana hiyo hela huna, kama kweli unayo fanya kutuma mimi ndiye mhasibu wa Joannah😀
 
Back
Top Bottom