TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
- Thread starter
- #161
Mkuu nibembelezeeni mwenzenu,namuhitaji mno na kama vipi mashemeji mtaniambia nini mnataka ili nikamilishe!.🤣🤣🤣 Tulia dawa ikukolee 🤒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nibembelezeeni mwenzenu,namuhitaji mno na kama vipi mashemeji mtaniambia nini mnataka ili nikamilishe!.🤣🤣🤣 Tulia dawa ikukolee 🤒
Kama unahitaji pesa yangu usiwe na shaka wewe pia unaweza kuwa kwenye msafara wa Ngorongoro,jambo la msingi ni mwanamke mwenzio akubali ombi langu tu,hayo mengine niachie mimiHilo jina lako unatutishia tusicomment(tusitukane)? Usitutishe inawezekana hiyo hela huna, kama kweli unayo fanya kutuma mimi ndiye mhasibu wa Joannah😀
Wapi hapaeleweki?😂😂😂*Ila kaka Elli nimi nakutaka wewe eti
Nikupate*
Niambie unaelewaje hapo!!
"Nakutaka wewe eti nikupate"Wapi hapaeleweki?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo"Nakutaka wewe eti nikupate"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unipate vipi sasa Anne!Ndiyo
Kiswahili kigumu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unipate vipi sasa Anne!
Sio mtego, dunia ya leo ni kuwa wazi tu mdogo wangu. Sema nikupe vigezo na masharti chaap🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah
Unanitega?
Niko hapa nadai chako mapema 😀Dear mhasibu😅😅😅
Mimi ni mhasibu na mlinzi wa Joannah so ntakuwepo eneo la tukio kumlindaKama unahitaji pesa yangu usiwe na shaka wewe pia unaweza kuwa kwenye msafara wa Ngorongoro,jambo la msingi ni mwanamke mwenzio akubali ombi langu tu,hayo mengine niachie mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio mtego, dunia ya leo ni kuwa wazi tu mdogo wangu. Sema nikupe vigezo na masharti chaap[emoji1787][emoji1787]
Naona umekuja kuchukua mtaji wako dada [emoji23]Dear mhasibu[emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu bado sijaiomba hapo ni trela tu,siku nikiiomba nitafanya makubwa zaidi ya hayaHaiombwi ivyoo
Mmmh huu mtaji ni wa moto,siwezi chukua bila msaada wa mwanasheria wangu Robert Heriel MtibeliNaona umekuja kuchukua mtaji wako dada [emoji23]
Nakuamini sana mhasibu wangu,IFM ilikunoa vizuri tusubiri neno la mwanasheria 🤓Niko hapa nadai chako mapema 😀
Sasa usichoolewa Nini hapo legend?mambo yasiwe mengi bwana,msikilize mwenzio😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unipate vipi sasa Anne!