PostGE2025 Naomba niongee na vijana wa Tanzania, Gen-z

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

political monger senior

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
1,951
Reaction score
6,399
Nichukue fursa na nafasi hii kuongea na vijana wa nchi hii..

Najua mioyo yenu inauma mmeumia kupoteza wapendwa wenu na wapendwa wetu pia lakini kuna jambo moja muhimu sana vijana wenzangu, amani na mshikamano ni kitu muhimu sana kwenye taifa lolote..

Yaliyotokea tarehe 29 yamewaumiza na kuwasononesha sana nichukue nafasi hii kumuombea msamaha kwenu Rais samia suluhu hassan kama yeye mwenyewe alivyoongea ameomba maridhiano na kuliponya taifa nawaomba tumuunge mkono na kumsapoti kwenye hili jambo muhimu sana.

Najua wengi mmeshakata tamaa na kuamua liwalo na liwe lakini naomba niwakumbushe jambo moja kwa upole na unyenyekevu Amani amani amani tumpe nafasi Rais samia ya kuweza kuirudisha tena Tanzania ile tuliyoizowea na kuisifia

Rais samia nae ni mzazi kama walivyo wazazi wengine na ni binadamu kama walivyo binadamu wengine ana teleza na kukosea hakuna mkamilifu apa duniani zaidi ya mungu pekee binadamu bora na mwenye hekima ni yule anayetambua kuwa amekosea na kukubali kurudi nyuma na kuangalia wapi amekosea amemuja na maridhiano ya kitaifa tumuunge mkono na tumsapoti ili taifa letu liweze kurudi kama lilivyokuwa mwanzo ..

Asanteni..
 
Nichukue fursa na nafasi hii kuongea na vijana wa nchi hii..najua mihoyo yenu inauma mmeumia kupoteza wapendwa wenu na wapendwa wetu pia lakini kuna jambo moja muhimu sana vijana wenzangu, amani na mshikamano ni kitu muhimu sana kwenye taifa lolote..yaliyotokea tarehe 29 yamewaumiza na kuwasononesha sana nichukue nafasi hii kumuombea msamaha kwenu Rais samia suluhu hassan kama yeye mwenyewe alivyoongea ameomba maridhiano na kuliponya taifa nawaomba tumuunge mkono na kumsapoti kwenye ili jambo muhimu sana.. Najua wengi mmeshakata tamaa na kuamua liwalo na liwe lakini naomba niwakumbushe jambo moja kwa upole na unyenyekevu Amani amani amani tumpe nafasi Rais samia ya kuweza kuirudisha tena Tanzania ile tuliyoizowea na kuisifia ..Rais samia nae ni mzazi kama walivyo wazazi wengine na ni binadamu kama walivyo binadamu wengine ana teleza na kukosea hakuna mkamilifu apa duniani zaidi ya mungu pekee binadamu bora na mwenye hekima ni yule anayetambua kuwa amekosea na kukubali kurudi nyuma na kuangalia wapi amekosea amemuja na maridhiano ya kitaifa tumuunge mkono na tumsapoti ili taifa letu liweze kurudi kama lilivyokuwa mwanzo ..Asanteni.. kwa maoni na ushauri telegram jina DIABLO PABLO
Wewe hata kiswahili hujui! H ya nini hapo
 
Aje aombe msamaha mwenyewe, we dont need shennigans wake waje hapa kumuombea
 
Nichukue fursa na nafasi hii kuongea na vijana wa nchi hii..najua mihoyo yenu inauma mmeumia kupoteza wapendwa wenu na wapendwa wetu pia lakini kuna jambo moja muhimu sana vijana wenzangu, amani na mshikamano ni kitu muhimu sana kwenye taifa lolote..yaliyotokea tarehe 29 yamewaumiza na kuwasononesha sana nichukue nafasi hii kumuombea msamaha kwenu Rais samia suluhu hassan kama yeye mwenyewe alivyoongea ameomba maridhiano na kuliponya taifa nawaomba tumuunge mkono na kumsapoti kwenye ili jambo muhimu sana.

Najua wengi mmeshakata tamaa na kuamua liwalo na liwe lakini naomba niwakumbushe jambo moja kwa upole na unyenyekevu Amani amani amani tumpe nafasi Rais samia ya kuweza kuirudisha tena Tanzania ile tuliyoizowea na kuisifia ..Rais samia nae ni mzazi kama walivyo wazazi wengine na ni binadamu kama walivyo binadamu wengine ana teleza na kukosea hakuna mkamilifu apa duniani zaidi ya mungu pekee binadamu bora na mwenye hekima ni yule anayetambua kuwa amekosea na kukubali kurudi nyuma na kuangalia wapi amekosea amemuja na maridhiano ya kitaifa tumuunge mkono na tumsapoti ili taifa letu liweze kurudi kama lilivyokuwa mwanzo ..Asanteni.. kwa maoni na ushauri telegram jina DIABLO PABLO
Ongea na viongozi wafuate haki
 
Sijaisoma ila nakuambia acha upumbavu. Huwezi kuua watu wengi kiasi hicho kwa maksudi halafu uje utuambie turidhiane. Maridhiano pekee tutakayoyakubali ni wewe kufa na hao uliowatuma kuua wafe
 
Kuna jamaa anajiita Dr nani sijui huko X ni mtanzania ila yupo ughaibuni

Anawaambia watu tarehe 9 mabiashara ya wachina yote pamoja na viwanda vyao watu waharibu na kutia moto.....Seriously??

Hajui wachina kama wameajiri vijana wengi sana hapa Tanzania kupitia mabiashara yao, hajui uchumi wetu kama unakua na hao wawekezaji wachina ni kichocheo cha ukuaji wa uchumi wetu

Huyu Dr kisa yeye yupo Marekani basi anashauri upumbavu tu na kuna watanzania wanasapoti kabisa aisee

Kuna agenda nyuma ya pazia kuhusu hizi movement ila muda ndio mwalimu tosha tusubiri tuone
 
Mnalipwa bei gani mpaka mnasaliti utu wenu? Huwezi ukawa na akili timamu ukaongea haya.
Unataka tukae chini na mtu aliyeua wenzetu 10+, yani unataka turidhiane na huyu mtu?
Muda huu atujali kuhusu amani, tunataka justice kwa damu zilizomwagika.
Hatutaki kuongozwa na muuaji pamoja na chama chake.
 
20251116_094701.jpg
 
Nichukue fursa na nafasi hii kuongea na vijana wa nchi hii..najua mihoyo yenu inauma mmeumia kupoteza wapendwa wenu na wapendwa wetu pia lakini kuna jambo moja muhimu sana vijana wenzangu, amani na mshikamano ni kitu muhimu sana kwenye taifa lolote..yaliyotokea tarehe 29 yamewaumiza na kuwasononesha sana nichukue nafasi hii kumuombea msamaha kwenu Rais samia suluhu hassan kama yeye mwenyewe alivyoongea ameomba maridhiano na kuliponya taifa nawaomba tumuunge mkono na kumsapoti kwenye ili jambo muhimu sana.

Najua wengi mmeshakata tamaa na kuamua liwalo na liwe lakini naomba niwakumbushe jambo moja kwa upole na unyenyekevu Amani amani amani tumpe nafasi Rais samia ya kuweza kuirudisha tena Tanzania ile tuliyoizowea na kuisifia ..Rais samia nae ni mzazi kama walivyo wazazi wengine na ni binadamu kama walivyo binadamu wengine ana teleza na kukosea hakuna mkamilifu apa duniani zaidi ya mungu pekee binadamu bora na mwenye hekima ni yule anayetambua kuwa amekosea na kukubali kurudi nyuma na kuangalia wapi amekosea amemuja na maridhiano ya kitaifa tumuunge mkono na tumsapoti ili taifa letu liweze kurudi kama lilivyokuwa mwanzo ..Asanteni.. kwa maoni na ushauri telegram jina DIABLO PABLO
Umewaza vizuri kweli?
 
Genge la wahuni linaloongoza nchi liondoke ,tupate serikali ya mpito kwanza.

Hawa wahuni washafikia sehemu ambapo wanafanya mambo kama wamekatwa vichwa.
 
Mnalipwa bei gani mpaka mnasaliti utu wenu? Huwezi ukawa na akili timamu ukaongea haya.
Unataka tukae chini na mtu aliyeua wenzetu 10+, yani unataka turidhiane na huyu mtu?
Muda huu atujali kuhusu amani, tunataka justice kwa damu zilizomwagika.
Hatutaki kuongozwa na muuaji pamoja na chama chake.
Kuna mtu mtandao wa X amepost

"Hatutaki maridhiano, maridhiano hayawezi kurudisha ndugu zetu"

Kwahiyo jambo gani lifanyike ili ndugu zetu warudi?
 
Nichukue fursa na nafasi hii kuongea na vijana wa nchi hii..najua mihoyo yenu inauma mmeumia kupoteza wapendwa wenu na wapendwa wetu pia lakini kuna jambo moja muhimu sana vijana wenzangu, amani na mshikamano ni kitu muhimu sana kwenye taifa lolote..yaliyotokea tarehe 29 yamewaumiza na kuwasononesha sana nichukue nafasi hii kumuombea msamaha kwenu Rais samia suluhu hassan kama yeye mwenyewe alivyoongea ameomba maridhiano na kuliponya taifa nawaomba tumuunge mkono na kumsapoti kwenye ili jambo muhimu sana.

Najua wengi mmeshakata tamaa na kuamua liwalo na liwe lakini naomba niwakumbushe jambo moja kwa upole na unyenyekevu Amani amani amani tumpe nafasi Rais samia ya kuweza kuirudisha tena Tanzania ile tuliyoizowea na kuisifia ..Rais samia nae ni mzazi kama walivyo wazazi wengine na ni binadamu kama walivyo binadamu wengine ana teleza na kukosea hakuna mkamilifu apa duniani zaidi ya mungu pekee binadamu bora na mwenye hekima ni yule anayetambua kuwa amekosea na kukubali kurudi nyuma na kuangalia wapi amekosea amemuja na maridhiano ya kitaifa tumuunge mkono na tumsapoti ili taifa letu liweze kurudi kama lilivyokuwa mwanzo ..Asanteni.. kwa maoni na ushauri telegram jina DIABLO PABLO
Ni kweli rais amekosea, hatutaki maridhiano hewa. Hajachaguliwa na watanzania 31m, akae pembeni kama sehemu ya toba, apishe serekali ya mpito. Kinyume na hapo December 9 tuko barabadani, na safari hii hakiharibiwi kitu, ila ni mpaka akae pembeni iundwe serekali ya mpito na kupata katiba mpya.
 
Nawe ni mmoja ya wapumbavu kama aliekutuma . Hamna akili kabisa, wananchi wana akili zaidi yenu, na kwa mavi uliyojaza kwenye kichwa unategemea wakufate na huko telegram ?

Kaeni kimya mnazidi chochea moto ambao hamna uwezo tena wa kuuzima
Nioo tayari kukosolewa ili kuijenga tanzania ile tuliyoachiwa na mwalimu nyerere tuitunze na kuthamini amani yetu
 
Ni kweli rais amekosea, hatutaki maridhiano hewa. Hajachaguliwa na watanzania 31m, akae pembeni kama sehemu ya toba, apishe serekali ya mpito. Kinyume na hapo December 9 tuko barabadani, na safari hii hakiharibiwi kitu, ila ni mpaka akae pembeni iundwe serekali ya mpito na kupata katiba mpya.
Kipindi iki ndio kipindi tunachotakiwa kuonesha mshikamano kama taifa tumpe sapoti Rais samia kwenye maridhiano na amani ya nchi hii
 
Kuna mtu mtandao wa X amepost

"Hatutaki maridhiano, maridhiano hayawezi kurudisha ndugu zetu"

Kwahiyo jambo gani lifanyike ili ndugu zetu warudi?
Ndugu zetu 10k waliouawa hawawezi kurudi, hiyo ni loss, tumekubali.

Tunachotaka sisi ni justice na sio maradhiano. Aliyewaua wenzetu anajulika ambaye ni serikali ya CCM kwa kutumia dola.
So matakwa yetu yapo clear na direct, hatuitaki serikali haramu ya CCM, Tunataka samia pamoja na crew yake nzima ya viongozi wa usalama wafikishwe mahakamani na wapewe hukumu wanayostahili, Tunataka katiba mpya inayorudisha nguvu kwa wananchi.

Na kama tunachokitaka itabidi tukipiganie, basi tupo tayari kuianza hii vita.

Hatuwezi kuwa governed na wuaji, Hatuwezi kuzungumza na wauaji.

CCM ni Wauaji.
 
Kuna mtu mtandao wa X amepost

"Hatutaki maridhiano, maridhiano hayawezi kurudisha ndugu zetu"

Kwahiyo jambo gani lifanyike ili ndugu zetu warudi?
Amna mtu anayeweza kurudisha uhai wa mtu mwingine lakini kuna njia ya kuponya na kufariji kwa yote yaliyotokea ..naomba tuchague njia hii kwa ajili ya kesho yetu vijana wenzangu
 
Back
Top Bottom