political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,951
- 6,399
Wewe hata kiswahili hujui! H ya nini hapoNichukue fursa na nafasi hii kuongea na vijana wa nchi hii..najua mihoyo yenu inauma mmeumia kupoteza wapendwa wenu na wapendwa wetu pia lakini kuna jambo moja muhimu sana vijana wenzangu, amani na mshikamano ni kitu muhimu sana kwenye taifa lolote..yaliyotokea tarehe 29 yamewaumiza na kuwasononesha sana nichukue nafasi hii kumuombea msamaha kwenu Rais samia suluhu hassan kama yeye mwenyewe alivyoongea ameomba maridhiano na kuliponya taifa nawaomba tumuunge mkono na kumsapoti kwenye ili jambo muhimu sana.. Najua wengi mmeshakata tamaa na kuamua liwalo na liwe lakini naomba niwakumbushe jambo moja kwa upole na unyenyekevu Amani amani amani tumpe nafasi Rais samia ya kuweza kuirudisha tena Tanzania ile tuliyoizowea na kuisifia ..Rais samia nae ni mzazi kama walivyo wazazi wengine na ni binadamu kama walivyo binadamu wengine ana teleza na kukosea hakuna mkamilifu apa duniani zaidi ya mungu pekee binadamu bora na mwenye hekima ni yule anayetambua kuwa amekosea na kukubali kurudi nyuma na kuangalia wapi amekosea amemuja na maridhiano ya kitaifa tumuunge mkono na tumsapoti ili taifa letu liweze kurudi kama lilivyokuwa mwanzo ..Asanteni.. kwa maoni na ushauri telegram jina DIABLO PABLO
Aje aombe msamaha mwenyewe, we dont need shennigans wake waje hapa kumuombeaNichukue fursa na nafasi hii kuongea na vijana wa nchi hii..najua mihoyo yenu inauma mmeumia kupoteza wapendwa wenu na wapendwa wetu pia lakini kuna jambo moja muhimu sana vijana wenzangu, amani na mshikamano ni kitu muhimu sana kwenye taifa lolote..yaliyotokea tarehe 29 yamewaumiza na kuwasononesha sana nichukue nafasi hii kumuombea msamaha kwenu Rais samia suluhu hassan kama yeye mwenyewe alivyoongea ameomba maridhiano na kuliponya taifa nawaomba tumuunge mkono na kumsapoti kwenye ili jambo muhimu sana.. Najua wengi mmeshakata tamaa na kuamua liwalo na liwe lakini naomba niwakumbushe jambo moja kwa upole na unyenyekevu Amani amani amani tumpe nafasi Rais samia ya kuweza kuirudisha tena Tanzania ile tuliyoizowea na kuisifia ..Rais samia nae ni mzazi kama walivyo wazazi wengine na ni binadamu kama walivyo binadamu wengine ana teleza na kukosea hakuna mkamilifu apa duniani zaidi ya mungu pekee binadamu bora na mwenye hekima ni yule anayetambua kuwa amekosea na kukubali kurudi nyuma na kuangalia wapi amekosea amemuja na maridhiano ya kitaifa tumuunge mkono na tumsapoti ili taifa letu liweze kurudi kama lilivyokuwa mwanzo ..Asanteni.. kwa maoni na ushauri telegram jina DIABLO PABLO
Ongea na viongozi wafuate hakiNichukue fursa na nafasi hii kuongea na vijana wa nchi hii..najua mihoyo yenu inauma mmeumia kupoteza wapendwa wenu na wapendwa wetu pia lakini kuna jambo moja muhimu sana vijana wenzangu, amani na mshikamano ni kitu muhimu sana kwenye taifa lolote..yaliyotokea tarehe 29 yamewaumiza na kuwasononesha sana nichukue nafasi hii kumuombea msamaha kwenu Rais samia suluhu hassan kama yeye mwenyewe alivyoongea ameomba maridhiano na kuliponya taifa nawaomba tumuunge mkono na kumsapoti kwenye ili jambo muhimu sana.
Najua wengi mmeshakata tamaa na kuamua liwalo na liwe lakini naomba niwakumbushe jambo moja kwa upole na unyenyekevu Amani amani amani tumpe nafasi Rais samia ya kuweza kuirudisha tena Tanzania ile tuliyoizowea na kuisifia ..Rais samia nae ni mzazi kama walivyo wazazi wengine na ni binadamu kama walivyo binadamu wengine ana teleza na kukosea hakuna mkamilifu apa duniani zaidi ya mungu pekee binadamu bora na mwenye hekima ni yule anayetambua kuwa amekosea na kukubali kurudi nyuma na kuangalia wapi amekosea amemuja na maridhiano ya kitaifa tumuunge mkono na tumsapoti ili taifa letu liweze kurudi kama lilivyokuwa mwanzo ..Asanteni.. kwa maoni na ushauri telegram jina DIABLO PABLO
Sijaisoma ila nakuambia acha upumbavu. Huwezi kuua watu wengi kiasi hicho kwa maksudi halafu uje utuambie turidhiane. Maridhiano pekee tutakayoyakubali ni wewe kufa na hao uliowatuma kuua wafeNichukue fursa na nafasi hii kuongea na vijana wa nchi hii..najua mihoyo yenu inauma mmeumia kupoteza wapendwa wenu na wapendwa wetu pia lakini kuna jambo moja muhimu sana vijana wenzangu, amani na mshikamano ni kitu muhimu sana kwenye taifa lolote..yaliyotokea tarehe 29 yamewaumiza na kuwasononesha sana nichukue nafasi hii kumuombea msamaha kwenu Rais samia suluhu hassan kama yeye mwenyewe alivyoongea ameomba maridhiano na kuliponya taifa nawaomba tumuunge mkono na kumsapoti kwenye ili jambo muhimu sana.
Najua wengi mmeshakata tamaa na kuamua liwalo na liwe lakini naomba niwakumbushe jambo moja kwa upole na unyenyekevu Amani amani amani tumpe nafasi Rais samia ya kuweza kuirudisha tena Tanzania ile tuliyoizowea na kuisifia ..Rais samia nae ni mzazi kama walivyo wazazi wengine na ni binadamu kama walivyo binadamu wengine ana teleza na kukosea hakuna mkamilifu apa duniani zaidi ya mungu pekee binadamu bora na mwenye hekima ni yule anayetambua kuwa amekosea na kukubali kurudi nyuma na kuangalia wapi amekosea amemuja na maridhiano ya kitaifa tumuunge mkono na tumsapoti ili taifa letu liweze kurudi kama lilivyokuwa mwanzo ..Asanteni.. kwa maoni na ushauri telegram jina DIABLO PABLO
Umewaza vizuri kweli?Nichukue fursa na nafasi hii kuongea na vijana wa nchi hii..najua mihoyo yenu inauma mmeumia kupoteza wapendwa wenu na wapendwa wetu pia lakini kuna jambo moja muhimu sana vijana wenzangu, amani na mshikamano ni kitu muhimu sana kwenye taifa lolote..yaliyotokea tarehe 29 yamewaumiza na kuwasononesha sana nichukue nafasi hii kumuombea msamaha kwenu Rais samia suluhu hassan kama yeye mwenyewe alivyoongea ameomba maridhiano na kuliponya taifa nawaomba tumuunge mkono na kumsapoti kwenye ili jambo muhimu sana.
Najua wengi mmeshakata tamaa na kuamua liwalo na liwe lakini naomba niwakumbushe jambo moja kwa upole na unyenyekevu Amani amani amani tumpe nafasi Rais samia ya kuweza kuirudisha tena Tanzania ile tuliyoizowea na kuisifia ..Rais samia nae ni mzazi kama walivyo wazazi wengine na ni binadamu kama walivyo binadamu wengine ana teleza na kukosea hakuna mkamilifu apa duniani zaidi ya mungu pekee binadamu bora na mwenye hekima ni yule anayetambua kuwa amekosea na kukubali kurudi nyuma na kuangalia wapi amekosea amemuja na maridhiano ya kitaifa tumuunge mkono na tumsapoti ili taifa letu liweze kurudi kama lilivyokuwa mwanzo ..Asanteni.. kwa maoni na ushauri telegram jina DIABLO PABLO
Kuna mtu mtandao wa X amepostMnalipwa bei gani mpaka mnasaliti utu wenu? Huwezi ukawa na akili timamu ukaongea haya.
Unataka tukae chini na mtu aliyeua wenzetu 10+, yani unataka turidhiane na huyu mtu?
Muda huu atujali kuhusu amani, tunataka justice kwa damu zilizomwagika.
Hatutaki kuongozwa na muuaji pamoja na chama chake.
Ni kweli rais amekosea, hatutaki maridhiano hewa. Hajachaguliwa na watanzania 31m, akae pembeni kama sehemu ya toba, apishe serekali ya mpito. Kinyume na hapo December 9 tuko barabadani, na safari hii hakiharibiwi kitu, ila ni mpaka akae pembeni iundwe serekali ya mpito na kupata katiba mpya.Nichukue fursa na nafasi hii kuongea na vijana wa nchi hii..najua mihoyo yenu inauma mmeumia kupoteza wapendwa wenu na wapendwa wetu pia lakini kuna jambo moja muhimu sana vijana wenzangu, amani na mshikamano ni kitu muhimu sana kwenye taifa lolote..yaliyotokea tarehe 29 yamewaumiza na kuwasononesha sana nichukue nafasi hii kumuombea msamaha kwenu Rais samia suluhu hassan kama yeye mwenyewe alivyoongea ameomba maridhiano na kuliponya taifa nawaomba tumuunge mkono na kumsapoti kwenye ili jambo muhimu sana.
Najua wengi mmeshakata tamaa na kuamua liwalo na liwe lakini naomba niwakumbushe jambo moja kwa upole na unyenyekevu Amani amani amani tumpe nafasi Rais samia ya kuweza kuirudisha tena Tanzania ile tuliyoizowea na kuisifia ..Rais samia nae ni mzazi kama walivyo wazazi wengine na ni binadamu kama walivyo binadamu wengine ana teleza na kukosea hakuna mkamilifu apa duniani zaidi ya mungu pekee binadamu bora na mwenye hekima ni yule anayetambua kuwa amekosea na kukubali kurudi nyuma na kuangalia wapi amekosea amemuja na maridhiano ya kitaifa tumuunge mkono na tumsapoti ili taifa letu liweze kurudi kama lilivyokuwa mwanzo ..Asanteni.. kwa maoni na ushauri telegram jina DIABLO PABLO
Nioo tayari kukosolewa ili kuijenga tanzania ile tuliyoachiwa na mwalimu nyerere tuitunze na kuthamini amani yetuNawe ni mmoja ya wapumbavu kama aliekutuma . Hamna akili kabisa, wananchi wana akili zaidi yenu, na kwa mavi uliyojaza kwenye kichwa unategemea wakufate na huko telegram ?
Kaeni kimya mnazidi chochea moto ambao hamna uwezo tena wa kuuzima
Kipindi iki ndio kipindi tunachotakiwa kuonesha mshikamano kama taifa tumpe sapoti Rais samia kwenye maridhiano na amani ya nchi hiiNi kweli rais amekosea, hatutaki maridhiano hewa. Hajachaguliwa na watanzania 31m, akae pembeni kama sehemu ya toba, apishe serekali ya mpito. Kinyume na hapo December 9 tuko barabadani, na safari hii hakiharibiwi kitu, ila ni mpaka akae pembeni iundwe serekali ya mpito na kupata katiba mpya.
Ndugu zetu 10k waliouawa hawawezi kurudi, hiyo ni loss, tumekubali.Kuna mtu mtandao wa X amepost
"Hatutaki maridhiano, maridhiano hayawezi kurudisha ndugu zetu"
Kwahiyo jambo gani lifanyike ili ndugu zetu warudi?
Amna mtu anayeweza kurudisha uhai wa mtu mwingine lakini kuna njia ya kuponya na kufariji kwa yote yaliyotokea ..naomba tuchague njia hii kwa ajili ya kesho yetu vijana wenzanguKuna mtu mtandao wa X amepost
"Hatutaki maridhiano, maridhiano hayawezi kurudisha ndugu zetu"
Kwahiyo jambo gani lifanyike ili ndugu zetu warudi?
Usijipe umuhimu ambao hauna.Nioo tayari kukosolewa ili kuijenga tanzania ile tuliyoachiwa na mwalimu nyerere tuitunze na kuthamini amani yetu