PostGE2025 Naomba niongee na vijana wa Tanzania, Gen-z

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mko wengi sana mtandaoni kujaribu kudhoofisha ukweli. Mtashindwa tu.
 
Sawa nimekupata vyema

Nchi yetu kwa sasa inaongozwa na katiba ya nchi ya mwaka 1977

Je katiba hii inaruhusu hilo jambo ambalo unalihitaji?
 
Kipindi iki ndio kipindi tunachotakiwa kuonesha mshikamano kama taifa tumpe sapoti Rais samia kwenye maridhiano na amani ya nchi hii
Tumpe support yeye kama nani, kachaguliwa na nani? Huyo si alikuja na maridhiano hewa baada Magufuli kufariki? Alipotakiwa asaini hayo maridhiano kwa maandishi yeye na chama chake wakagoma. Hakuna wajinga wa kuwaita kwenye maridhiano ya kupotezeana muda.

Huu mchezo wa kunajisi uchaguzi, kisha kuja na maridhiano uchwara umepitwa na wakati. Tarehe 9 dec tunarudi barabarani hadi atoke na tupate serekali ya mpito, kisha katiba mpya, na tume huru ya uchaguzi.
 
Hajachaguliwa na wananchi. Kapora ridhaa ya wananchi kuweka madarakani mtu wamtakaye.

Kiufupi kaingia madarakani kwa mapinduzi
 
Wananchi wameanza kutambua wapendwa wao katika video ya Mwananyamala chumba cha maiti
 

Attachments

  • Screenshot_20251116_110853_Instagram_111038.jpg
    120.1 KB · Views: 17
  • Screenshot_20251116_110839_Instagram_111034.jpg
    136.6 KB · Views: 11

Too late for that,atoke hadharani akiri kuhusika na awajibike yeye na wote waliohusika naye.
 
Sawa nimekupata vyema

Nchi yetu kwa sasa inaongozwa na katiba ya nchi ya mwaka 1977

Je katiba hii inaruhusu hilo jambo ambalo unalihitaji?
Ndio, katiba inaruhusu kudai justice, reforms & changes.
Na ni wazi kuwa CCM wameua watu 10k iliwabaki kwenye power, unadhani watakubali reforms na changes za katiba ambazo zitaleta uchaguzi huru na wazi?, ambapo kukiwa na uchaguzi huru na haki hamna kiti watapata.

kwa hiyo kama matakwa yetu ambayo yameruhusiwa kikatiba yanapuuzwa na watu walioapa kuongoza kikatiba, then sisi hatutasita kuipuuzia katiba kwa lengo la kudai Justice.

Katiba inajegwa kwenye msingi wa haki, na sio kinyume.
So justice kwanza, mengine yatafuata
 
Mliwapuuza watanzania,na kuona mafala sasa tulieni,mlianza waacheni raia wwlimalize.
 
Muda wa kuchekeana umeshaisha
too late
Astep down na sheria ifate mkondo wake

Haiwezeka na haikubali atoe roho za raia wengi ivo halafu simple tu asamehewe?

Halafu we boya unakuja kumuombea msamaha kama nani?!
 
Hao genz wasipotuliza mihemko yao watapotea na kuwapoteza wapendwa wao kwa mara nyingine tena! ๐Ÿ˜Ž๐Ÿšฎ

Watu gani hamuambiliki
 
Hao genz wasipotuliza mihemko yao watapotea na kuwapoteza wapendwa wao kwa mara nyingine tena! ๐Ÿ˜Ž๐Ÿšฎ

Watu gani hamuambiliki
MD9 mtaiona nguvu ya umma wa GEN Z si mnatumia risasi kukaa madarakani Sasa muendelee tena kutumia risasi na nyie mujiandae kukabiliana na risasi za moto
 
Unadhani maridhiano yanaweza kuponya Taifa ikiwa upande mmoja haujaridhia.?
 
Maridhiano
Maridhiano waliyakataa kabla ya uchaguzi, na ili maridhiano yafanyike uchafuzi ufutwe kwanza ndio turidhiane na tuanze upya
 
Kuna mtu mtandao wa X amepost

"Hatutaki maridhiano, maridhiano hayawezi kurudisha ndugu zetu"

Kwahiyo jambo gani lifanyike ili ndugu zetu warudi?
Kauli inakuja hivyo sababu imani kwa serikali imeshuka
Gov lazima ishuke chini kukubali. Else wakiendelea kukaza fuvu wanajua kifuatacho
 
MD9 mtaiona nguvu ya umma wa GEN Z si mnatumia risasi kukaa madarakani Sasa muendelee tena kutumia risasi na nyie mujiandae kukabiliana na risasi za moto
Mtakufa midomo wazi kenge nyie endeleleeni kutiana ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ