That is the real solutionPaka maji ya Limao au Ndimu.
Utakuja kunishukuru.
Yaani kamua Paka maji yake hapo kwapani.
Chochote unachofanya kinatakiwa kiendane na unywaji wa maji meeengi kila siku. Baada ya miezi kadhaa, hiyo hali itapotea au kupungua.Nina tatizo la harufu kali ya kikwapa kiasi cha kunikosesha amani na kutokujiamini mbele za watu.
Nimejaribu kutumia njia karibu zote za asili kama kujisafisha na limao, ndimu, maji ya ukoko wa ugali, mchele etc lakini hazijaweza nisaidia kitu.
Kuhusu suala la kuoga wala sina tatizo kutwa naonga mara mbili Asubuhi na jioni lakini hata nikitoka kuoga nikitembea dk 5 harufu fulan inaanza kusikika
Uzi uishie Hapa.. Ushamaliza tayari solutionPaka maji ya Limao au Ndimu.
Utakuja kunishukuru.
Yaani kamua Paka maji yake hapo kwapani.
deodorant pia ni nzuri.. ila kama limao limekataaa kutoa harufu uyo anatatizo lingine kbsaNywele za huko huwa unanyoa?
Nyoa halafu paka deodorant
yaan kama limao limekataa kutoa harufu uyo aende hospital tuKama ni kikali sana huenda ikawa ni pepo mchafu yuko ndani yako. Hiyo nafasi aliyokaa pepo akikaa roho Mtakatifu hiyo harufu itaondoka na mambo mengi katika life cycle yako yatabadilika.
Mwanadamu hajaumbwa kwa makosa mpaka anuke kama fungo.
Nyoa kwapaNina tatizo la harufu kali ya kikwapa kiasi cha kunikosesha amani na kutokujiamini mbele za watu.
Nimejaribu kutumia njia karibu zote za asili kama kujisafisha na limao, ndimu, maji ya ukoko wa ugali, mchele etc lakini hazijaweza nisaidia kitu.
Kuhusu suala la kuoga wala sina tatizo kutwa naonga mara mbili Asubuhi na jioni lakini hata nikitoka kuoga nikitembea dk 5 harufu fulan inaanza kusikika
Sabuni gani ?Paka sabuni
Nishapaka lakini badoPaka maji ya Limao au Ndimu.
Utakuja kunishukuru.
Yaani kamua Paka maji yake hapo kwapani.
Nitafuata huu ushauri wakoKitabibu harufu kali ya jasho inaweza kuwa ni ishara ya matatizo mbalimbali ya mwili, kama bacteria kwenye ngozi yako, figo kutokufanya kazi vizuri, ini kuto kufanya kazi vizuri, kisukari etc.
Nenda hospitali wakufanyia vipimo ili wajue tatizo ni nini.
Sivuti sigara wala pombe sinywi, labda nijitahidi kunywa maji mengi,Unavuta sigara ,kunywa pombe au sio mnywaji wa vitu vye majimaji sana.
jaribu kunywa maji sana taka mwili ziondoke au nenda kwa wale wanaouza dawa za suna upate vile vipunje usafishe sumu na mafuta
Nanyoa vizuri sana, deodarant nilikuwa napaka nivea, mwanzoni inakuwa fresh tabu inakuja pale ambapo nimetokwa na jasho harufu ikajichanganyana nayoNywele za huko huwa unanyoa?
Nyoa halafu paka deodorant