Naomba nisaidiwe tiba ya harufu kali ya kikwapa

Naomba nisaidiwe tiba ya harufu kali ya kikwapa

Nina tatizo la harufu kali ya kikwapa kiasi cha kunikosesha amani na kutokujiamini mbele za watu.

Nimejaribu kutumia njia karibu zote za asili kama kujisafisha na limao, ndimu, maji ya ukoko wa ugali, mchele etc lakini hazijaweza nisaidia kitu.

Kuhusu suala la kuoga wala sina tatizo kutwa naonga mara mbili Asubuhi na jioni lakini hata nikitoka kuoga nikitembea dk 5 harufu fulan inaanza kusikika
Tumia maji ya Ugali yale uliyolowekea sufuria baada ya kumaliza kupika ugali tumia kuosha kwapa lako
 
Back
Top Bottom