- Thread starter
- #21
yaan kama limao limekataa kutoa harufu uyo aende hospital tu
Labda nipake kwa miezi mingapi mana nishafanya hivoPaka maji ya Limao au Ndimu.
Utakuja kunishukuru.
Yaani kamua Paka maji yake hapo kwapani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaan kama limao limekataa kutoa harufu uyo aende hospital tu
Labda nipake kwa miezi mingapi mana nishafanya hivoPaka maji ya Limao au Ndimu.
Utakuja kunishukuru.
Yaani kamua Paka maji yake hapo kwapani.
Kwa hiyo unadhani NI kiumbe gani hicho kimeumbwa Kwa Makosa ndio kinastahili kunuka??kunuka au kunukia NI Hali ya kila kiumbe hai ikiwemo mimea inategemea wewe ndio umetafsiri Vipi hiyo harufu uhisiyo,,,inaweza kunuka kwako lakini kwa upande mwingine na kwa mwingine ni kunukia vivyo hivyo inaweza kunukia kwako na kwa mwingine ni kunuka.Kama ni kikali sana huenda ikawa ni pepo mchafu yuko ndani yako. Hiyo nafasi aliyokaa pepo akikaa roho Mtakatifu hiyo harufu itaondoka na mambo mengi katika life cycle yako yatabadilika.
Mwanadamu hajaumbwa kwa makosa mpaka anuke kama fungo.
kachek afya malaria, minyoo n.k kama iko itibu kisha anza mazoezi ya kufanya uvuje jasho la kutosha huku ukiyafakamia maji ya kutosha 🐒Nina tatizo la harufu kali ya kikwapa kiasi cha kunikosesha amani na kutokujiamini mbele za watu.
Nimejaribu kutumia njia karibu zote za asili kama kujisafisha na limao, ndimu, maji ya ukoko wa ugali, mchele etc lakini hazijaweza nisaidia kitu.
Kuhusu suala la kuoga wala sina tatizo kutwa naonga mara mbili Asubuhi na jioni lakini hata nikitoka kuoga nikitembea dk 5 harufu fulan inaanza kusikika
Utatoa nini nikikutibuNina tatizo la harufu kali ya kikwapa kiasi cha kunikosesha amani na kutokujiamini mbele za watu.
Nimejaribu kutumia njia karibu zote za asili kama kujisafisha na limao, ndimu, maji ya ukoko wa ugali, mchele etc lakini hazijaweza nisaidia kitu.
Kuhusu suala la kuoga wala sina tatizo kutwa naonga mara mbili Asubuhi na jioni lakini hata nikitoka kuoga nikitembea dk 5 harufu fulan inaanza kusikika
Shukrani sanaTafuta deodorant ya shabu, kama upo dar nenda kariakoo maduka ya waarabu.
Waombe wakuelekeze jinsi ya kutumia.
Hii ni kiboko kama tatizo likiendelea muone daktari.View attachment 2927976hakikisha ukifungua unakuta hii
Asante sana nimekaribia, wapi namuonea uyo mtaalamNimejaribu kutumia njia karibu zote za asili kama kujisafisha na limao, ndimu, maji ya ukoko wa ugali, mchele etc lakini hazijaweza nisaidia kitu.
Pole sana kama hizi zimedunda karibu kumuona mtaalam wa tiba za ngozi
NimekuelewaKwa hiyo unadhani NI kiumbe gani hicho kimeumbwa Kwa Makosa ndio kinastahili kunuka??kunuka au kunukia NI Hali ya kila kiumbe hai ikiwemo mimea inategemea wewe ndio umetafsiri Vipi hiyo harufu uhisiyo,,,inaweza kunuka kwako lakini kwa upande mwingine na kwa mwingine ni kunukia vivyo hivyo inaweza kunukia kwako na kwa mwingine ni kunuka.
Asante kwa ushauri huu, nami ndio nimehisi nahitaji tiba ya aina hii, pa kuanzia nikaona nijaribu hapaShida yako iko ndani ya mfumo wako wa mwili wala siyo nje,dawa za kupaka nje haziwezi kuwa suluhisho la kudumu.Hapo mpaka upate dawa ya kunywa itakayoenda kudeal na chanzo cha tatizo huku ukijivukiza.Shida hii inatibika vizuri.
Pole sana.
Nitafanyia kazi ushauri huukachek afya malaria, minyoo n.k kama iko itibu kisha anza mazoezi ya kufanya uvuje jasho la kutosha huku ukiyafakamia maji ya kutosha [emoji205]
nyoa vizuri nywele za kikwapa na sehemu nyingine, hali hiyo itapungua au kupotea kabisa ndani ya mwezi moja tu....
kwanza utakua mwenye afya unaevutia, smart na unae nukia vizuri hata ukipaka babycare tu [emoji205]
MmeWewe Ni KE au MEE?
Swali gumu kiasi kwanguUtatoa nini nikikutibu