- Thread starter
- #41
Vyote natumiaTumia Deodorant kaka ndio kiboko ya jasho la kwapa na oga mara kwa mara.
ratiba yangu ya kuoga ni mara mbili kwa siku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyote natumiaTumia Deodorant kaka ndio kiboko ya jasho la kwapa na oga mara kwa mara.
Hiyo ni fursa ya kutengeneza dawa ya mbuNina tatizo la harufu kali ya kikwapa kiasi cha kunikosesha amani na kutokujiamini mbele za watu.
Nimejaribu kutumia njia karibu zote za asili kama kujisafisha na limao, ndimu, maji ya ukoko wa ugali, mchele etc lakini hazijaweza nisaidia kitu.
Kuhusu suala la kuoga wala sina tatizo kutwa naonga mara mbili Asubuhi na jioni lakini hata nikitoka kuoga nikitembea dk 5 harufu fulan inaanza kusikika
Kuna Deodorant nzuri mzee wala huna infection yoyote umekaa na hyo hali imekuondolea kujiamini.Vyote natumia
ratiba yangu ya kuoga ni mara mbili kwa siku
Jina lake hio deodorantKuna Deodorant nzuri mzee wala huna infection yoyote umekaa na hyo hali imekuondolea kujiamini.
Wacha niongeze bidii kwenye kunywa majiKunywa maji mengi tumia deodorant Nivea dry utaondoa tabu Kwa watu safi kabisa
Tumia old spice nzuri sana kama upo Dar naweza kukuuzia hii.Jina lake hio deodorant
Tumia hii njia maisha yako yote mkuuTumia deorant perfume kama Nivea, au Bellagio
Afadhali maana Kama ingekua ke ingekua na huko miguu inakokutana kungekua Kuna tema harufu ya nyingi.
Nenda hospital waambie wakuchome sindano ya BOTOX kwenye kwapa zote mbili, hilo tatizo litaisha.Nina tatizo la harufu kali ya kikwapa kiasi cha kunikosesha amani na kutokujiamini mbele za watu.
Nimejaribu kutumia njia karibu zote za asili kama kujisafisha na limao, ndimu, maji ya ukoko wa ugali, mchele etc lakini hazijaweza nisaidia kitu.
Kuhusu suala la kuoga wala sina tatizo kutwa naonga mara mbili Asubuhi na jioni lakini hata nikitoka kuoga nikitembea dk 5 harufu fulan inaanza kusikika
Ona mwamba.Nina tatizo la harufu kali ya kikwapa kiasi cha kunikosesha amani na kutokujiamini mbele za watu.
Nimejaribu kutumia njia karibu zote za asili kama kujisafisha na limao, ndimu, maji ya ukoko wa ugali, mchele etc lakini hazijaweza nisaidia kitu.
Kuhusu suala la kuoga wala sina tatizo kutwa naonga mara mbili Asubuhi na jioni lakini hata nikitoka kuoga nikitembea dk 5 harufu fulan inaanza kusikika
Nenda kamuone Dermatologist (daktari wa magonjwa ya ngozi) akuchome Botox injection kwenye kwapa.Vyote natumia
ratiba yangu ya kuoga ni mara mbili kwa siku
Nywele za huko huwa unanyoa?
Nyoa halafu paka deodorant
Botox inazuia jasho kutoka, harufu inasababishwa na bacteria, bado atakua hajatibu chanzo.Nenda hospital waambie wakuchome sindano ya BOTOX kwenye kwapa zote mbili, hilo tatizo litaisha.
Kuna uwezekano mkubwa kwa madaktari wachache sana wanaoifahamu hii tiba.
Combination ya excessive sweating (hyperhidrosis) + bacteria ndo shida.Botox inazuia jasho kutoka, harufu inasababishwa na bacteria, bado atakua hajatibu chanzo.
Pia botox inaishia after every three months kama sijasahau.