bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Ya kawaidaSabuni gani ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya kawaidaSabuni gani ?
Kikwapa ni dalili za mwili kulemewa na nuksiNimejaribu kutumia njia karibu zote za asili kama kujisafisha na limao, ndimu, maji ya ukoko wa ugali, mchele etc lakini hazijaweza nisaidia kitu.
Pole sana kama hizi zimedunda karibu kumuona mtaalam wa tiba za ngozi
Kwenye kikwapa zinadunda hiziTumia old spice nzuri sana kama upo Dar naweza kukuuzia hii.
Tumia old spice nzuri sana kama upo Dar naweza kukuuzia hii.
Old spice ni nzr Sana
Jaribu deodorant inaitwa Degree utanishukuru baadaeJina lake hio deodorant
Aoge kwanza vizuri sabuni nzuru na scrub na shower gell ,hapo tu awe na laki moja kununua vitu hivyo vizuriJaribu deodorant inaitwa Degree utanishukuru baadae
Sawa Dr. Dejane. Natumai ameelewa.Ila kuna watu wana harufu za ajabu uvundo sijui huwa inakuwaje !!
Kunywa maji mengi na matunda ule kila siku hasa matikiti,tango ,nanasi na papai,apple.
Nyoa sehem zote uoge na sabuni ya dettol kisha uwe na scrub yenye harufu nzuri jisugue mwili vizuri kisha oga tena ,
Ukitoka jikaushe vizuri na taulo safi kisha paka deodorant za nivea 5000 ni nzuri kama una hela kuna za 25 kuendelea ,nunua lotion nzuri upake kisha vaa nguo safi,
Hakikishs maeneo unayolala pawe pasafi,nguo zako ziwe safi na unyooshe
EwaaaaaSawa Dr. Dejane. Natumai ameelewa.
Sasa tatizo lisipoisha, basi ni clonic.Ewaaaaa
Anachokula ndani ndio alivyo afunge na kufunga inasaidia mwili unajidetoxSasa tatizo lisipoisha, basi ni clonic.
Nieleweshe vizuri hapoAnachokula ndani ndio alivyo afunge na kufunga inasaidia mwili unajidetox
EwaaaaaSawa Dr. Dejane. Natumai ameelewa.
nadhan mwili wake utakuwa umejaa sumu 😂😂😂😂 ndio maana jasho kaliNieleweshe vizuri hapo
Hapo kwenye vyakula ndio nahitaji ufafanuzi mzuri. Kwamba kuna vyakula tukila vinasababisha harufu ya jasho kuwa kali sana au inakuwaje? Na ni vyakula vipi? Au ni ugali?Ewaaaaa
nadhan mwili wake utakuwa umejaa sumu 😂😂😂😂 ndio maana jasho kali
Bana usinichoshe mim nishachokaHapo kwenye vyakula ndio nahitaji ufafanuzi mzuri. Kwamba kuna vyakula tukila vinasababisha harufu ya jasho kuwa kali sana au inakuwaje? Na ni vyakula vipi? Au ni ugali?