Naomba niulize kuhusu makato ya akaunti za biashara NMB

Naomba niulize kuhusu makato ya akaunti za biashara NMB

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
9,397
Reaction score
12,415
Nina akaunti ya biashara NMB. Jana nimedownload statement yangu imesoma kama unavyo ona hapa chini:

Ni kipi kinasababisha Monthly Fee ya kila mwezi itofautiane?

Kilichofanya nilete mada hii hapa ni baada ya kuona nimekatwa Monthly fees Jumla ≈ TZS 227,780.85 na hiyo imefanyika ndani ya siku mbili tu.

Hiyo ni statement ya kuanzia 01 Feb 2026 hadi 14 Feb 2026. Makato hayo yamefanyika siku za tarehe 08 Feb 2026 na 10 Feb 2026.

Wataalam wa hesabu za benki karibuni kuna sehemu naona Monthly Fee ni TZS 2,339.99, Sehemu nyingine ni TZS 2291.33 na sehemu nyingine ni TZS 13,000. Hii tofauti inatokana na nini?

Monthly Fee - Dec_2025 — TZS 2,339.99
Monthly Fee - Jan_2025 — TZS 2,339.99
Monthly Fee - Nov_2024 — TZS 2,291.33
Monthly Fee - Dec_2024 — TZS 2,339.99
Monthly Fee - Aug_2025 — TZS 2,339.99
Monthly Fee - Jul_2025 — TZS 2,339.99
Monthly Fee - Nov_2025 — TZS 2,339.99
Monthly Fee - Sep_2025 — TZS 2,034.91
Monthly Fee - Oct_2025 — TZS 2,339.99
Monthly Fee - Feb_2025 — TZS 2,339.99
Monthly Fee - Jun_2025 — TZS 2,339.99
Monthly Fee - Mar_2025 — TZS 2,339.99
Monthly Fee - Apr_2025 — TZS 2,339.99
Monthly Fee - May_2025 — TZS 2,339.99
Monthly Fee - Jan_2026 — TZS 2,339.99
Monthly Fee - May_2025 — TZS 13,000.00
Monthly Fee - Mar_2025 — TZS 13,000.00
Monthly Fee - Jul_2025 — TZS 13,000.00
Monthly Fee - Jan_2026 — TZS 13,000.00
Monthly Fee - Nov_2025 — TZS 13,000.00
Monthly Fee - Feb_2025 — TZS 13,000.00
Monthly Fee - Aug_2025 — TZS 13,000.00
Monthly Fee - Nov_2024 — TZS 12,729.66
Monthly Fee - Jan_2025 — TZS 13,000.00
Monthly Fee - Dec_2025 — TZS 13,000.00
Monthly Fee - Jun_2025 — TZS 13,000.00
Monthly Fee - Apr_2025 — TZS 13,000.00
Monthly Fee - Dec_2024 — TZS 13,000.00
Monthly Fee - Oct_2025 — TZS 13,000.00
Monthly Fee - Sep_2025 — TZS 11,305.08


Screenshot_20260214_182108_WPS Office.jpg

Screenshot_20260214_182134_WPS Office.jpg
 
Mkuu una changamoto kama yangu, awali walisema ukifungua account ya biashara ina faida nyingi ikowemo kutunza record za cash flow hivyo inakuwa rahisi katika return, kodi na Mikopo. Pia walisema hazina makato makubwa. Ila ukweli ni kwamba ndio maana watu hawapendi kutumia account za biashara kufanyia biashara wana makato mengi yasiyo eleweke.

Kunitunzia tu hela yangu ushakata lak 2 kwa mwezi for what?
 
Mkuu una changamoto kama yangu, awali walisema ukifungua account ya biashara ina faida nyingi ikowemo kutunza record za cash flow hivyo inakuwa rahisi katika return, kodi na Mikopo. Pia walisema hazina makato makubwa. Ila ukweli ni kwamba ndio maana watu hawapendi kutumia account za biashara kufanyia biashara wana makato mengi yasiyo eleweke.

Kunitunzia tu hela yangu ushakata lak 2 kwa mwezi for what?
Ni kweli ila CRDB sijaona mambo kama haya.
 
Huwa najiuliza hawa mbona wanapata faida zaidi ya Trilioni kwa mwaka inakuwaje? Kumbe ni weezy weezy tu ,BOT naona hawaregulate kabisa ,haiwezekani BANK ipate faida zaidi ya Trilioni kwa mwaka maana yake hapo wateja wanaumizwa to the maximum...Makampuni ya simu yana wateja kibao lakini mapato yao kwa mwaka hayazidi 400B(Mapato na si faida) so inakuwaje bank wapate faida ya zaidi ya trilion(NMB) na CRDB 900B?

BOT ebu fanyeni review ya makato ya mabnk inaonekana yapo juu sana ,wateja wanakamuliwa sana ,profit margin ni kubwa sana.

Kutoa pesa kwenye ATM kwanin iwe 2000? ikiwa chini ya laki 4? Na hapo hapo unakata kuanzia elfu 3000 hadi elfu 15 kwa mwezi....Kuamisha Bank kwenda kwenye simu napo ni majanga makato kibao ,kutoa napo majnga makato KIBAO.
 
Sijui ni ushamba au umaskini, mie siweki pesa benki, labda ipitie tu..

Ninajisemeaga.
"Haiwezekani niweze kutafuta pesa, nishindwe kuzitunza, yaani niweze kutafuta hela halafu nikawape benki wanishikie, na makato juu"
pesa yangu itazunguruka tu
 
Usifungue akaunti hiyo kama sio mfanyabiashara kwani hua mnapigwa Fimbo
 
Back
Top Bottom