Naomba niwasaidie watangazaji wa vituo vyote vya redio namna ya kutamka majina ya Kijerumani

Naomba niwasaidie watangazaji wa vituo vyote vya redio namna ya kutamka majina ya Kijerumani

Ein
Eins

Utofauti na matumizi yake
"ein" ni indefinite article kama ilivyo "a" kwenye "a house". Kwa kijerumani itakuwa " ein Haus". Unapohesabu kuanzia moja na kuendekea ndipo inakuja "eins". Eins, zwei, drei, vier........
 
Uwasaidie pia na hawa wachambuzi wetu uchwara wa mpira wa miguu na ambao hawajui kutamka kwa ufasaha majina ya baadhi ya vilabu vya mpira wa miguu vya Ujerumani; Schalke 04, nk.
Sawa mkuu ila ungenipa orodha ya vilabu maana mimi si mshabiki sana wa mpira! Ukiweka majina nitaongeza pronunciations.
 
oto von bismark yule anatamkwaJe kiongozi wa mkutano wa berlin mwaka 1888 😂😂
 
CCM inatamkwa schicem
KINANA inatamkwa chinerner
Chongolo inatamkwa tshonglo.
Jifunzeni kiswahili nyie nzi wa kijani msiwe kama wenzenu nyumbu kila kitu ni kupinga tuu....bahati mbaya wa mizambarauni hata hawajui zzk wao anataka Nini.
duh! Hii kali, mizambarauni tena? Kwa hiyo kuna chama cha kijani a.k.a chama cha mbogamboga na chama cha zambarau. Ipo siku kitatokea chama cha machungwa
 
Sawa mkuu ila ungenipa orodha ya vilabu maana mimi si mshabiki sana wa mpira! Ukiweka majina nitaongeza pronunciations.
Karibu vilabu vyote vya mpira wa miguu ni majina ya miji, vitongoji au majiji!
 
Kuna mtangazaji wa Voice Fm Rukwa uwa kila asubuhi anasoma magazeti sijui akiwa anasoma vichwa vya magazeti uwa sijui anajielewa kweli, namshauri tu apunguze sifa na ujuaji mwingi mbwembwe za kipumbavu anapoteza radha ya hiyo radio,ajifunze kwa watangaza radio one/radio free
 
Back
Top Bottom