Shalka nuli fia...!Uwasaidie pia na hawa wachambuzi wetu uchwara wa mpira wa miguu na ambao hawajui kutamka kwa ufasaha majina ya baadhi ya vilabu vya mpira wa miguu vya Ujerumani; Schalke 04, nk.
"ein" ni indefinite article kama ilivyo "a" kwenye "a house". Kwa kijerumani itakuwa " ein Haus". Unapohesabu kuanzia moja na kuendekea ndipo inakuja "eins". Eins, zwei, drei, vier........Ein
Eins
Utofauti na matumizi yake
Sawa mkuu ila ungenipa orodha ya vilabu maana mimi si mshabiki sana wa mpira! Ukiweka majina nitaongeza pronunciations.Uwasaidie pia na hawa wachambuzi wetu uchwara wa mpira wa miguu na ambao hawajui kutamka kwa ufasaha majina ya baadhi ya vilabu vya mpira wa miguu vya Ujerumani; Schalke 04, nk.
Sawa mkuu ila ungenipa orodha ya vilabu maana mimi si mshabiki sana wa mpira! Ukiweka majina nitaongeza pronunciations.
Ni Bayer leverkusen sio bayern1. Bayern Leverkusen
2. Union Berlin
3. Borussia Dortmund
4.Borussia Mönchengladbach
5.Freiburg
6.Darmstadt
7.Eintracht Frankfurt
kwenye von unatamka fon,😁 mkalimani wa mchongo nipo hapaoto von bismark yule anatamkwaJe kiongozi wa mkutano wa berlin mwaka 1888 😂😂
OTO FON BISMARKoto von bismark yule anatamkwaJe kiongozi wa mkutano wa berlin mwaka 1888 😂😂
1884/85oto von bismark yule anatamkwaJe kiongozi wa mkutano wa berlin mwaka 1888 😂😂
duh! Hii kali, mizambarauni tena? Kwa hiyo kuna chama cha kijani a.k.a chama cha mbogamboga na chama cha zambarau. Ipo siku kitatokea chama cha machungwaCCM inatamkwa schicem
KINANA inatamkwa chinerner
Chongolo inatamkwa tshonglo.
Jifunzeni kiswahili nyie nzi wa kijani msiwe kama wenzenu nyumbu kila kitu ni kupinga tuu....bahati mbaya wa mizambarauni hata hawajui zzk wao anataka Nini.
2 na 6Mkuu mbona nimeweka sawa? Mmoja ni raisi wa Ujerumani na mwingine ni raisi wa kamisheni ya EU!
Hivi S haiwi Z? Ina bakia kuwa S?OTO FON BISMARK
Karibu vilabu vyote vya mpira wa miguu ni majina ya miji, vitongoji au majiji!Sawa mkuu ila ungenipa orodha ya vilabu maana mimi si mshabiki sana wa mpira! Ukiweka majina nitaongeza pronunciations.
dah nilishasahau aisee asant kwa ukumbusho1884/85
bas kuanzia leo nami niitwe fundi von bishoo ila nitamkwe kijeruman ntatamkwaje...?😂kwenye von unatamka fon,😁 mkalimani wa mchongo nipo hapa
VFB Stuttgart1. Bayern Leverkusen
2. Union Berlin
3. Borussia Dortmund
4.Borussia Mönchengladbach
5.Freiburg
6.Darmstadt
7.Eintracht Frankfurt
🙏 zusammen Bruder….. pass auf dich auf 👍Guten Morgen. Herzlich willkommen!
Entschuldigung! Olaf Scholz ni Kansela wa Ujerumani.
Ikiwa mwanzo wa neno inakuwa Z. Kama Zanzibar kwa kijerumani ni Sansibar ( ZANSIBA)Hivi S haiwi Z? Ina bakia kuwa S?