Naomba niwe "devil's advocate" nikimtetea haszu anayejiita handsome

Inategemea na hiyo interview ni kuhusu kazi gani,

Mfano kwenye interview ya kazi ya ulinzi hawezi kuchukuliwa mtu laini laini mwenye sura nzuri,hapo atachaguliwa mwenye sura kavu kama aliyelamba ndimu.
 
Lakin kwanini ajisifie hivyo? Anatafuta nini?
 
Mara nyingi watu mnaojifanya kuupinga sana ushoga huwa ndo mnafanya hivyo vitendo sirini. Ni upuuzi kwa mwanaume rijali kuwazawaza ushoga kwenye kila kitu.
Tuwe serious kidogo hivi kweli mwanaume unaanzaje kujisifia uzuri labda! Si ndo kujitangaza kwenyewe huko??

AF hamna binadamu mwenye sura mbaya mpaka muanze kujiona wa kipekee aana!

Kidume kujisifia uzuri huo ni ushoga tu hamna namna!.
 
Huu ndio ukweli, haiwezekani mwanaume rijali kila likiongelewa jambo ushakimbilia kulihusianisha na ushoga, inaonesha ni jinsi gani akilini mwake mawazo ya ushoga yalivyomtawala
Mna ajenda zenu nyie watu ndo mana hizi nyuzi hazikati! asaiv tunawapa makavu tu mkafie mbele
 
Genuine desire vs Negotiated desire.

Hapa ndio mahandsome zerobrain wanapookotea point kuzidi hustlers
 
Tuwe serious kidogo hivi kweli mwanaume unaanzaje kujisifia uzuri labda! Si ndo kujitangaza kwenyewe huko??

AF hamna binadamu mwenye sura mbaya mpaka muanze kujiona wa kipekee aana!

Kidume kujisifia uzuri huo ni ushoga tu hamna namna!.
Wewe ni shoga ndo maana muda wote unawaza ushoga.
 
Tuwe serious kidogo hivi kweli mwanaume unaanzaje kujisifia uzuri labda! Si ndo kujitangaza kwenyewe huko??

AF hamna binadamu mwenye sura mbaya mpaka muanze kujiona wa kipekee aana!

Kidume kujisifia uzuri huo ni ushoga tu hamna namna!.
mimi siamini hilo unalolikomalia wewe, nyie mnaopinga ndio mnakua wafuasi. haiwezekani kila kitu unahusianisha huko
 
mimi siamini hilo unalolikomalia wewe, nyie mnaopinga ndio mnakua wafuasi. haiwezekani kila kitu unahusianisha huko
Haya bandugu! Uzuri kila mtu na mtazamo wake we amini unavoamini tu ila taarifa ndo zinawafikia hivo!
 
ni kweli, hata wadada waosemaga sana mambo ya kinyume na maumbile ni hatar sana, mara nyingi ni wafuasi kabisa
Sana yani, sasa jambo la kuwasaidia watuletee kamusi ambayo inasema neno Handsome manake ni shoga, wasipoleta basi tambua akilini mwako 100% wana chembe chembe za ubwabwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…