Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

Namiliki ile old model,twin turbo,dah!ile gari acha kabisa,huko road niliwahi kuzalilishwa na land cruser ya mkonge na v8,hamna mjinga mwingine yoyote aliekua anasumbua,kile kifaru kiko juu ya mawe mwaka wa pili sasa madogo walikiua,but najipanga nikirudishe road kwa ajili ligi tu 😅
Mimi old model naikubali kwa kutoa sound halisi ya boxer engine. Ikiwa manual transmission ndio balaa zaidi unapovesha na kuvua gia kwa haraka haraka.

Kwa sound ile ya boxer engine naweza nisitoke kwenye usukani Dar-Bukoba.
 
Back
Top Bottom