Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu pamoja na madai kuwa mayahudi wamekuwa wakiua Mitume mara kwa mara, bado Qur'ani tukufu haijataja majina ya mitume hao.
Je ni manabii gani hao ambao Wayahudi wanadaiwa kuwaua?
Je nini madhumuni ya mashambulizi haya ya mara kwa mara dhidi ya Wayahudi?
Nimeweka nukuu hapo chini:
"Hakika tuliweka ahadi na Wana wa Israili, na tukatuma kwao Mitume; kila alipo wajia Mtume kwa yale wasiyoyapenda nafsi zao, baadhi walikanusha, na wengine wanawauwa" S. 5:70
Naombeni tutaje majina ya Mitume au Manabii hao kama wapo pamoja na kuweka nukuu kutoka maandiko husika
Naomba tujadili