Naomba orodha ya majina ya Mitume na Manabii ambao waliuawa na Mayahudi kama inavyoekezwa kwenye maandiko

U
Wewe ulishawahi kumuona yesu?
Umeona tofauti ya hizi Aya tatu ?
قَالَ إِنَّمَا أَنَا رَسُولُ رَبِّكِ لِأَهَبَ لَكِ غُلَامًا زَكِيًّا

(MARYAM - 19)
1. (Malaika) akasema: Hakika mimi ni mwenye kutumwa na Mola wako Mlezi ili nikubashirie tunu ya mwana aliye takasika.

اقْرَأْ بِاسْمِ رَبِّكَ الَّذِي خَلَقَ

(AL - A'LAQ - 1)
2. Soma kwa jina la Mola wako Mlezi aliye umba.

قُلْ مَا كُنتُ بِدْعًا مِّنَ الرُّسُلِ وَمَا أَدْرِي مَا يُفْعَلُ بِي وَلَا بِكُمْ ۖ إِنْ أَتَّبِعُ إِلَّا مَا يُوحَىٰ إِلَيَّ وَمَا أَنَا إِلَّا نَذِيرٌ مُّبِينٌ

[ AL - AH'QAAF - 9 ]
3. Sema: Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata niliyo funuliwa tu kwa Wahyi, wala mimi si chochote ila ni mwonyaji mwenye kudhihirisha wazi.

1. Aya ya kwanza hapo anaye ongea ni Malaika
2. Aya ya pili anaongea Allah
3. Aya ya tatu anaongea Muhamadi.

Kwa Aya yako aliyemtokea pangoni mtume na kumwambia "Soma" ni Allah.
Na sio Malaika.
Au hakuna utaratibu wa kuongea kwenye kitabu chako?
 
Muhammad alitokewa na jibril kama maria alivyotokewa na Gabriel .sijui unapata shida wapi.mwenye kazi za kuwapa wahyi na maneno ya mungu ni jibril peke yake.
 
Back
Top Bottom