Naomba orodha ya majina ya Mitume na Manabii ambao waliuawa na Mayahudi kama inavyoekezwa kwenye maandiko

Naomba orodha ya majina ya Mitume na Manabii ambao waliuawa na Mayahudi kama inavyoekezwa kwenye maandiko

Na ndiye aliyekuwa anamhadithia stori za kwenye Biblia na kumwandikia.

Bila kumsahau Salman al Farsi aliyekuwa Muajemi/Muiran muumini wa dini ya Zoroastrin kisha akawa Mkristu na mwisho akawa Muislam swahaba wa Mtume Muhamad. Huyu alikuwa swahaba muhimu sana wa Mtume Muhamad na ndiye aliye-shape mtazamo wa Muhamad kuhusu Ukristu na Uzoroatsrian.

Ndiyo maana Quran ina combination ya vyote kwa maana ya Uyahudi na Ukristu alioupata kwa Waraqah ibn Nawfal, Uzoroastrian, Ukristu alioupata kwa Al Farsi na Upagani wa jadi za Kiarab aliopata kwa Wazee wa Kiquaresh ambao walikuwa wakishika funguo za Al Kaaba ya wapagani

tupia andiko kama ni kweli usemavyo ni sahihi.
Halipo, jiulize ni kwanini halipo andiko la msingi kama hilo kwenye Qurani.
Ni uzushi tu.
Muhammad hakujua kusoma wala kuandika.ameipata wapi Quran? Kama sio kwa Mungu?
 
Tukisema Quran haijitoshelezi mnakuja juu.. Tukisema Uislamu bila Ukristu bado haujakamilika pia mnakuja juu.. Kama kweli Quran inasema mitume waliuwawa na wayahudi inashindwa nini kuwataja.. Mbona Biblia imetamka bayana mitume waliouwawa..?? Kwa kifupi Uislamu uliletwa kupinga na kupotosha mafundisho ya Ukristu..
 
Wewe umejuaje kama alitokewa na Malaika Gibrili na andiko halipo kwenye Qurani ?
Tulitafute wapi Hilo andiko.
Muhammad hakujua kusoma wala kuandika.ameipata wapi Quran? Kama sio kwa Mungu?
Kwani Malaika Gibrili alitoka wapi, kama sio kwa Mungu ?
Kwanini Hilo andiko halipo, la kutokewa na kuambiwa
Soma.
 
Surat iqra itafute
Nilidhani utaiweka hiyo sura na Aya husika.
Hapo imedhihirisha bayana kuwa stori ya mtume wako kutokewa na Malaika na kuambiwa "soma" na kupewa utume ni ya uwongo.
Hiyo sura haipo na hilo andiko halipo.
Malaika gani hajitambulishi.
Na mlijuje kuwa katokewa na Malaika wakati hakuna uthibitisho?
Yaani Mariamu anatokewa na Malaika Qurani inaandika kwakuwa ni habari ya ukweli.
Mtume mwenye kupewa kitabu Qurani inashndwa kuthibitisha kutokewa na Malaika.
Hii zi ajabu ya kuwango cha lami...!
.........
قَالَ إِنَّمَا أَنَا رَسُولُ رَبِّكِ لِأَهَبَ لَكِ غُلَامًا زَكِيًّا

(MARYAM - 19)
(Malaika) akasema: Hakika mimi ni mwenye kutumwa na Mola wako Mlezi ili nikubashirie tunu ya mwana aliye takasika.
........
Nasubiri andiko Malaika ikimtokea Muhammadi na kumwambia "Soma" na kumwambia kuwa amepewa utume na Mungu.
 
Unataka nini tena?
 
Attachments

  • Screenshot_20240719-115750.png
    Screenshot_20240719-115750.png
    187.4 KB · Views: 3
Wadau hamjamboni nyote?

Ndugu zangu pamoja na madai kuwa mayahudi wamekuwa wakiua Mitume mara kwa mara, bado Qur'ani tukufu haijataja majina ya mitume hao.

Je ni manabii gani hao ambao Wayahudi wanadaiwa kuwaua?

Je nini madhumuni ya mashambulizi haya ya mara kwa mara dhidi ya Wayahudi?

Nimeweka nukuu hapo chini:

"Hakika tuliweka ahadi na Wana wa Israili, na tukatuma kwao Mitume; kila alipo wajia Mtume kwa yale wasiyoyapenda nafsi zao, baadhi walikanusha, na wengine wanawauwa" S. 5:70

Naombeni tutaje majina ya Mitume au Manabii hao kama wapo pamoja na kuweka nukuu kutoka maandiko husika

Naomba tujadili
nadhani kina mwaki naninani watakujibu maana wao ndio mitume wengi wa mchongo, wee uliona wapi kila ukoo una asikofu wake na mtume wake.
 
Back
Top Bottom