Naomba orodha za changamoto ulizowahi kukutana nazo wakati ukifuatilia huduma TRA

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,853
Reaction score
4,503
Wakuu samahani naomba mtu yeyote aliyewahi kukutana na changamoto yoyote katika suala lolote linalohusiana na Huduma za TRA aandike hapa,itapendeza zaidi ukifafanua ugumu ulikuwa wapi,?

Zaidi naangazia katika malipo ya kodi,kujaza compliance,kutoa mzigo bandarini,kupitisha mzigo mpakani,nk.

Lakini changamoto yoyote ile naomba uandike hapa ninapitia.

@MODERATORS TAFADHALI MSIUNGANISHE HUU UZI.

ASANTENI
 
Asante,wanaangalia vitu gani hasa? ili kukamilisha uhakiki wao?
Wanakagua kama mauzo yote yaliyorekodiwa kwenye mashine za EFD yanalandana na financial statements zako.

Wanachunguza kama VAT unayodai, input inatokana na manunuzi halali yaliyosajiliwa ,hapa ndipo wengi huwa wanapigwa faini kwa kutumia invoices feki au kutoka kwa wasio na VAT.

Wanalinganisha mzigo uliopo stoo na stock movement, wakikuta mzigo umepungua bila receipt ya mauzo, wanakukadiria kodi ya mapato hapo hapo.

Pia huwa wanakagua kama umekata kodi ya zuio kama kwenye pango na huwa unawasilisha kwa wakati.
 
ok asante sana hili nimeshalifanyia kazi.
 
Hapo kwenye ku file returns , TRA na Bank inabidi wasomane , Bank reconciliation, Bank statement, profit and loss, ziweze ku fill mfumo wa TRA automatic,

Yan mfumo wa TRA na Bank unakuwa una record na ku file all transactions. Na kutoa first draft ambayo , mteja anaweza aka edit au ku prove mmoja kwa Moja Iko sahihi.

Sasa ili mfumo huu uwe self automation, inabidi mteja anapofanya any Bank transactions, anakuwa ana select activities kama pay bilis, water, electric, salary, allowances, transport, investing, buying hardware or software etc, ambaoo hizi activities zinakuwa record kwa mujibu wa sheria za Kodi na makato yake,

Kwa hiyo hapo TRA na Bank wanatakiwa kuwa na database selections ya kutosheleza mahitaji ya wateja na wawe wana update na kuongeza selections zikihitajika na wateja.

Hayo ndio maoni yangu , coz haiwezeiani company iliyosajiliwa ifanye Biashara bila kutumia malipo ya serikali na kuweka pesa Bank.
 
Hili limeshafanyiwa kazi,100%
 
Hili limeshafanyiwa kazi,100%
Pia kwenye VAT , mfumo utambue mauzo ya mteja kwamba amefikia mauzo ya kiwango kilicho wekwa kwa mujibu wa sheria na kumuingiza kwenye VAT automatic na pia mfumo uwe na uwezo wa kumtoa mteja automatic asipo fikisha kiwango hicho.

Hakuna haya kwa mteja kuandika barua kwa meneja au mkurugezi kuomba kutolewa kwenye VAT.
 
Nimefanya hivyo kwa kupendekeza uwepo wa NATIONAL POS ambayo itahusisha block chain kuanzia kwa producer mpaka consumers,EFD au VFD systems ziwe intergrated na main proposed system za TRA,muuzaji akisha tengeneza invoice na kusave VAT itakuwa charges automatically na hesabu zitahifaziwa kwa kila mfanyabiashara,na wakati hili linaendelea RETURN REPORT itakuwa auto prepared,kulingana na muda wa return.kwa biashara nyingine zimeeleza itafanyika vipi pia.

EFD hazitahitaji manual command ili kutoa risiti,mfumo utatengeneza na kumtumia mteja kwa njia ya simu kama sms na SOFTCOPY kwa njia ya whatssap na akaunti yake ya TRA.

kipengele cha kujitoa nafikiri ni kwa sababu ya mifumo mibovu ya identification ya business,sijakigusia ,ila kama nitapata wasaa wa kupenya nitakiongelea kwa kukiongeza na namna ya kujiondoa,nimechelewa kupata maoni yako,ambayo ni mazuri sana.
 
SAWA KAZI Nzuri sana ✅
 
Back
Top Bottom