Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Usikute hana hata vinasaba vya uhaya zaidi ya kuwa na ID feki tu [emoji124][emoji3526]HAYA LAND njoo huku[emoji119]
Sipendi wa vigoma na shughuli, napenda mkaa kitako mlezi wa watoto, mengine kama uelewa, uvumilivu na heshima hivyo ni kipimo Cha personal dimensions. Nahitaji vile vya kijamii zaidi maana hitaji la mke ni muhimu family yangu niende sawa na jamiiUnapendelea nini haswa be specific, kuna makabila yapo vizuri kwenye jambo moja kuliko mengine sasa funguka tujue hitaji kuu tukusaidie kuchagua
TasipotaUsikute hana hata vinasaba vya uhaya zaidi ya kuwa na ID feki tu [emoji124][emoji3526]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Namtaka huyo niunge naye fastaNjoo tukupatie aliyenemwa
Wasambaa hawana huo ujinga.Hapo rashid kaoneka umeyakanyaga..hao wote ni mwendo wa vigodoro.
#MaendeleoHayanaChama
Si Bora akaoe Machame au Siha kabisa kuliko balaa la kuishi na mmakonde.Tafuta Mmakonde aliechanganyikana na Mmatengo, utakua umefunga kazi mkuu utanishukuru baadae
Nimesema mixed masala ya kimakonde na kimatengo, mmachame unataka akafe kibudu au?Si Bora akaoe Machame au Siha kabisa kuliko balaa la kuishi na mmakonde.
Kuna ndugu yangu aliyakanyaga alioa kabila la akina Kikwete hawa sijui ndio wakwere. Ndugu yangu mhaya wa kwetu sijui alizuzuka na ule weupe. Mwanamke umbwa kabisa kamharibia watoto. Hajui malezi, hajui kujishughulisha, she is a waste yule mbwa na zaidi naona akamroga ndugu yetu.Usikute hana hata vinasaba vya uhaya zaidi ya kuwa na ID feki tu [emoji124][emoji3526]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mnapowageuza wanawake kuwa wapambanaji ktk familia hapo ndipo mnapoingia chaka kazi ya mwanamke ni hiyo aliyoitaja mtoa mada hayo mengine peleka uchagani inakogeuzwa ndoa kama Saccos kila mwanandoa ni mtafutaji mwisho wa siku mnaanza kutafutana kuuana ili mali ziwe za mmoja binafsi sifikilii mke mpambanaji hata awe wa Kabila gani wengi wao wakaanza kuzinasa sahau kuhusu kukupetipetiKuna ndugu yangu aliyakanyaga alioa kabila la akina Kikwete hawa sijui ndio wakwere. Ndugu yangu mhaya wa kwetu sijui alizuzuka na ule weupe. Mwanamke umbwa kabisa kamharibia watoto. Hajui malezi, hajui kujishughulisha, she is a waste yule mbwa na zaidi naona akamroga ndugu yetu.
Umenena kweli tupu mkuu, nilichogundua unajua kuhusu historia, ukiondoa masuala ya kula mapanya, vyura, nyoka na madubwasha mengine ya porini kwenye mawindo yao wamakonde ni majasiri alafu wana asili ya ubishi, hio ni kwa wote sio wanawake sio wanaume, sasa wamatengo ni kinyume chake ndio maana nikasema akimpata mwanamke aliechanganyika na jamii hizo mbili anakua ameokota dodo chini ya mstimu,Mi nashauri oa mmakonde kwa ajili ya kizazi kipambanaji, jasiri na kisichokata tamaa hapo baadae. Niamini, wamakonde wengi wamekosa elimu na exposure tu (sababu za kihistoria na ukoloni) lakini nakuambia ni watu wenye asili ya mapambano sana na uhangaikaji ndo maana hukosi kuwakuta kwenye kila fursa. Pia wana asili ya ujasiri sana (sio waoga), ndo maana kule kwao simba mharibifu (hata awe zaidi ya mmoja) huwa anazungukwa na kuuliwa na wao wenyewe live. Si wamasai tu wanaoua simba, kuna wamakonde pia ingawa hawasemwi.
Ukipata mke wa kimakonde, ukaenda nae kwa maisha unayoyaongoza wewe kama mume (uliyeelimika, mwenye maono na mchapakazi), watoto ukawawekea msingi bora......nakuapia utakuwa na kizazi kimoja bright hautoamini.
Ukumbusho, wamakonde wana asili ya sanaa pia........