Mi nashauri oa mmakonde kwa ajili ya kizazi kipambanaji, jasiri na kisichokata tamaa hapo baadae. Niamini, wamakonde wengi wamekosa elimu na exposure tu (sababu za kihistoria na ukoloni) lakini nakuambia ni watu wenye asili ya mapambano sana na uhangaikaji ndo maana hukosi kuwakuta kwenye kila fursa. Pia wana asili ya ujasiri sana (sio waoga), ndo maana kule kwao simba mharibifu (hata awe zaidi ya mmoja) huwa anazungukwa na kuuliwa na wao wenyewe live. Si wamasai tu wanaoua simba, kuna wamakonde pia ingawa hawasemwi.
Ukipata mke wa kimakonde, ukaenda nae kwa maisha unayoyaongoza wewe kama mume (uliyeelimika, mwenye maono na mchapakazi), watoto ukawawekea msingi bora......nakuapia utakuwa na kizazi kimoja bright hautoamini.
Ukumbusho, wamakonde wana asili ya sanaa pia........