Nisikilize Mimi nimekaa pwani zaidi ya miaka 20 iyo mikoa yote Dar, mtwara ,Tanga, bagamoyo (coast regional) ...Nenda kwa msambaa kwa vile wasambaa hawanaga vinasaba vya mambo ya pwani ile fully wako nusu upareni wako vizuri kila kona Wana jamii na trend za uzuri kuanzia rangi mpaka akili wako poa kila sekta elimu, utu Wana mchanganyiko mkubwa na wazungu ndo maana wengi ni washika dini si wakristo wala waislamu ...wanapotoka kuzuri sio wabaguzi .
Tatizo lao wanapenda a mno jiandae kulisha ukoo watakuja timu nzima kipind cha likizo, nimekaa Tanga Kuna boss anaitwa shehoza huyo anapenda ndugu zake na ni agent wa bakhresa biashara zake kajaza ndugu mpaka mlinzi wa geti ni msambaa ...kiwango cha kusaidia ni kikubwa Sana Wana wasambaa.
Mdigo ukiwa mshamba mshamba na mpole anakuzidi akili muone haji manyara yule demu alimshinda maana wanapenda shughuli na wanaridhika mapema ,wanavutia na ni rahisi kutongozwa ukizubaa tu basi imekula kwako...kwa mapishi ndo usiseme