Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Sijamaanisha kutafuta rizki. Labda sikutumia Kiswahili kizuri. Namaanisha hawajibiki hajigusi ndani ya nyumba. Ni vivu, mharibifu, mfujaji, mshenzi, roho roho mbaya n.kMnapowageuza wanawake kuwa wapambanaji ktk familia hapo ndipo mnapoingia chaka kazi ya mwanamke ni hiyo aliyoitaja mtoa mada hayo mengine peleka uchagani inakogeuzwa ndoa kama Saccos kila mwanandoa ni mtafutaji mwisho wa siku mnaanza kutafutana kuuana ili mali ziwe za mmoja binafsi sifikilii mke mpambanaji hata awe wa Kabila gani wengi wao wakaanza kuzinasa sahau kuhusu kukupetipeti
Mzigua90 wa JFKwenye mada straight wadau nataka kuchagua kuvuta jiko hitajika la kuishi nalo nataka mtoto wa pwani nshapata inbox kama 50 chuguo langu nataka chombo Cha pwani,kwenye sampuli kuna wafuatao.
1. Mluguru
2. Mkwere
3.Msagara
4.Mzigua
5. Mzaramo
6.Msambaa
7.Mbondei
8. Mdigo
9. Mjikenda
10. Mkunya
11. Mdengereko
12. Mwera
13. Myao
14. Mmakua
15. Mmakonde.
Binafsi katika upambanaji wangu nimempa namba 1 Myao, 2,Mkwere, 3. Mjikenda.
Naomba tathimini yenu nifanye final
Ruksa kufanya ranking mpya
Karibuni
Mimi ni mchanganyiko wa wa Mhaya na Mnyiha ( Baba Mhaya, mama mnyiha)
Karibuni.
Hewala hewala
Point taken Kwa uzitoMi nashauri oa mmakonde kwa ajili ya kizazi kipambanaji, jasiri na kisichokata tamaa hapo baadae. Niamini, wamakonde wengi wamekosa elimu na exposure tu (sababu za kihistoria na ukoloni) lakini nakuambia ni watu wenye asili ya mapambano sana na uhangaikaji ndo maana hukosi kuwakuta kwenye kila fursa. Pia wana asili ya ujasiri sana (sio waoga), ndo maana kule kwao simba mharibifu (hata awe zaidi ya mmoja) huwa anazungukwa na kuuliwa na wao wenyewe live. Si wamasai tu wanaoua simba, kuna wamakonde pia ingawa hawasemwi.
Ukipata mke wa kimakonde, ukaenda nae kwa maisha unayoyaongoza wewe kama mume (uliyeelimika, mwenye maono na mchapakazi), watoto ukawawekea msingi bora......nakuapia utakuwa na kizazi kimoja bright hautoamini.
Ukumbusho, wamakonde wana asili ya sanaa pia........
Pata mgoni, hana ngoma ngoma ukikosa chukua konde girl... Wana utulivu na ni wajenziSipendi wa vigoma na shughuli, napenda mkaa kitako mlezi wa watoto, mengine kama uelewa, uvumilivu na heshima hivyo ni kipimo Cha personal dimensions. Nahitaji vile vya kijamii zaidi maana hitaji la mke ni muhimu family yangu niende sawa na jamii
Hizo pande hapana mwaghona, mie kwetu maeneo ya forest zamani mitaa ya kadeghe kuelekea mahakama kuu karibu na kwa mwambusi, kwa wazazi wa mamaMnyiha,si ungebeba wasafwa na wandali wa mbeya
Onho,sawa mkuuHizo pande hapana mwaghona, mie kwetu maeneo ya forest zamani mitaa ya kadeghe kuelekea mahakama kuu karibu na kwa mwambusi, kwa wazazi wa mama
Nashauri achukue mkunya[emoji23]Unapendelea nini haswa be specific, kuna makabila yapo vizuri kwenye jambo moja kuliko mengine sasa funguka tujue hitaji kuu tukusaidie kuchagua
Hujambo lakini jirani wangu wa Iyunga, nimecheza sana mahandaki ya wajerumani hapo Iyunga, vuruga sana nzovwe hadi itendeOnho,sawa mkuu
Iyunga tulishatoka,nipo uyole kwenye viazHujambo lakini jirani wangu wa Iyunga, nimecheza sana mahandaki ya wajerumani hapo Iyunga, vuruga sana nzovwe hadi itende
Uko uyole ipi Nsalaga au igawilo, kati, mizania, kanisani!!!?Iyunga tulishatoka,nipo uyole kwenye viaz
NjiapandaUko uyole ipi Nsalaga au igawilo, kati, mizania, kanisani!!!?
Ooooh poa poa mrembo mzuriNjiapanda
Siku hizi hupandishi threads vipi toka umehama Iyunga umechange sana uko wa baridiNjiapanda