theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Lakni bila pombe nisingekuwa na hali niliyonayo mkuu...Pole sana mkuu ila ishu sio pombe usiisingizie sema kiu chako tu ndo kilikuponza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakni bila pombe nisingekuwa na hali niliyonayo mkuu...Pole sana mkuu ila ishu sio pombe usiisingizie sema kiu chako tu ndo kilikuponza
Jamanii kwa hiyo unakunywa dawa kila Siku auNi historia ndefu all in all ninachokumbuka ni shauri ya pombe nilijikuta niko na mwanamke asubuhi sasa kumbe sikutumia kinga....
Kuna kipindi fulani niliandamwa na maralia isiyoisha ndio katika kucheki nikajikuta niko na hali hiyo....
Awapi, nakula pombe toka nipo la pili lkn hata siku moja cjawai kula mzigo sababu nmelewa, nkitaka papuchi basi ni kiu kimenishika cha papuchi. Pombe inanisaidia ujasiri wa kumtongoza yeyote ata LuluLakni bila pombe nisingekuwa na hali niliyonayo mkuu...
Shark ile game yetu vipi hujaleta mpyaaPole sana mkuu ila ishu sio pombe usiisingizie sema kiu chako tu ndo kilikuponza
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji24] [emoji24]Eeh... kwanza kabla ya kumeza hakikisha umekula msosi wa nguvu mix matunda then unashushia na maji ya kutosha....
Niko mahali nikifika nyumbani nitakuonesha vya kwangu...
Nini tena dear...[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji24] [emoji24]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Bora kufa, hii midawa ya nini
Ni sawa Na kuomba picha ya jaji wa mahakam KUU
Na kuanza kunitakia kifungo chema huko gerezani
Watanzania jueni kuelewa maswali
Hahaaah vikiwa vidogo havitaweza kupambana na wale virus wanaoenea mwili mzimaBora tudawa tungekuwa tudogo Kama piliton jamani
Njoo nikupime kama unao...mi napima kwa kutumia ramli...kama upo tayari nikupime sasa hv na kukupa majibu yako hapahapaNimependa rangi ya hizo dawa ila ee mwenyezi mungu naomba uniepushie
Amekua muwazi kivip wakati humi ndani hatujuani?!Dah! Hongera kwa kuwa muwazi, pambana coz maisha lazima yasonge.
Wabongo mshajiongezaNdo mana wanasemaga hakuna rangi utaacha ona!!!!!
Kidonge kama nakula fupa la kuku.Kama vipi unavisaga vinakuwa unga ndipo unakunywa, kiulainiii.... Kisa cha kujiumiza koo ni nini?
Kidonge unameza kinakukwama kooni khaaa...
Amini unavyoaminiUnaweza ukawa hivyo na bado usijue lolote pia
Mkuu, ume experience?Hapo kila rangi na wakati wake.
Kuna za kuanza mpaka za mwisho.
Blue, njano, pink na nyeupe na kila dawa ina hatua zake.
Ila mkuu kama uko serious pole sana na wala sio mwisho wa kuishi.
View attachment 779333
Hapo kila rangi na wakati wake.
Kuna za kuanza mpaka za mwisho.
Blue, njano, pink na nyeupe na kila dawa ina hatua zake.
Ila mkuu kama uko serious pole sana na wala sio mwisho wa kuishi.
View attachment 779333