Naomba picha ya vidonge vya ARV vya kisasa nijiandae kisaikolojia

Naomba picha ya vidonge vya ARV vya kisasa nijiandae kisaikolojia

Ni historia ndefu all in all ninachokumbuka ni shauri ya pombe nilijikuta niko na mwanamke asubuhi sasa kumbe sikutumia kinga....

Kuna kipindi fulani niliandamwa na maralia isiyoisha ndio katika kucheki nikajikuta niko na hali hiyo....
Jamanii kwa hiyo unakunywa dawa kila Siku au
Pole lakini nakuona uko poa,, nakumbuka ulisema una familia pia, unajizuia kutoambukiza wengine
 
Lakni bila pombe nisingekuwa na hali niliyonayo mkuu...
Awapi, nakula pombe toka nipo la pili lkn hata siku moja cjawai kula mzigo sababu nmelewa, nkitaka papuchi basi ni kiu kimenishika cha papuchi. Pombe inanisaidia ujasiri wa kumtongoza yeyote ata Lulu
 
Eeh... kwanza kabla ya kumeza hakikisha umekula msosi wa nguvu mix matunda then unashushia na maji ya kutosha....

Niko mahali nikifika nyumbani nitakuonesha vya kwangu...
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji24] [emoji24]
 
lakini vinaua sana figo ndo maana kila unapomaliza dozi lazma wakucheki figo
 
Ni sawa Na kuomba picha ya jaji wa mahakam KUU
Na kuanza kunitakia kifungo chema huko gerezani

Watanzania jueni kuelewa maswali

Anataka kujiandaa kisaikolojia ili azichore au..??? Soma uzi vizuri mkuu
 
Magonjwa mengine ni ya kisaikolojia,wala hayapo,hayapo kabisa.
 
Back
Top Bottom