Naomba sababu ya Kiufundi na ya Kiutaalam kabisa kwanini huyu Nyoka HATARI hapa hakumuuma huyu Mtoto

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178

Na mkishaipata hiyo sababu Kubwa ndiyo mtajua na kuamini kuwa kwanini ukitaka Kubarikiwa haraka na Mwenyezi Mungu basi uwe unapenda mno kutoa Sadaka kwa Watoto kwani ile Asante yao / Shukran zao ni Baraka na Ulinzi tosha Kwako na Mimi kwa 90% ndiyo huwa nafanya kila Maulana / Mola akinijaalia Uchumi mzuri / Fursa au Nafasi.
 
Hapo kutoa sadaka kwa watoto ni boonge moja la mchongo asee!!!

Ni mara ya pili hii unaongelea ishu hiyo ila watu hawatakuelewa.

Ukitaka kufanikiwa hakikisha unajitoa sana kwa watoto.
Yaani ikipita Wiki sijawakusanya Watoro mbalimbali kama 15 au 20 kisha niwanunulie Soda au Juice huwa najiona kama vile kuna Kitu kimepungua Kwangu.

Baraka nyingi ziko kwa Watoto na hasa wale wanaotoka katika Familia duni ambao wengi wao kunywa Soda au Juice ni mpaka Krismasi au Idi.
 
Jibu rahisi na haraka hili hapa
Screenshot_20250721-124229_ChatGPT.jpg
 
Huyo sio nyoka hatari mkuu... ni african rock python mdogo....yaani chatu mdogo mara nyingi chatu huwa aggressive kwa kitu ambacho anaona kabisa anakuweza sasa huyu ni chatu mdogo sana ...so pengine hapo kashiba ....pia nature ya chatu kwa binadamu huwa sio aggressive kwa binadamu..... hasa huyu african rock python ni wapole pia very shy kwa binadamu kumbuka pia hawana sumu yeyote ile
Ila ipo 1 recorded event south africa the largest african rocky python alikula mtoto wa shule ....kumbuka huyu alikuwa mkubwa sio kama hako kadogo kachatu

Ila kuna chatu wakorofi na huwa wanakula watu visa vingi viko recorded anaitwa reticulated python ..hawa wako Indonesia na ndo longest in the world yaani kwa urefu pia wana uzito wa kilo 150 hadi 200... hawa wana visa vingi vya kula watu ....ingia mtandaoni utaona video zao wakiwa watu watolewa kwenye matumbo yao... huyu nyoka alwatan kwa kula watu

Tukija anaconda nae kama african rocky python wapole kwa binadamu hakuna recorded event amekula mtu yaani hana record hata moja documented kala mtu mara nyingi binadam kwake sio chakula hayupo kwenye menu list ..mara nyingi yeye hula mamba wadogo wanaitwa caiman na panya wakubwa wanaitwa kapibala

Hope nimekusaidia
 
Wenye nuksi na roho mbaya mpo wengi.
Labda nikujibu kwa ufupi mkuu.
Hiyo video imechukuliwa au imeandaliwa na watu wazima, siyo kwa bahati mbaya.
Imendaliwa makusudi baada ya kuona nyoka huyo hana hatari (wote tunajua wapo nyoka hutolewa meno, wengine hufuga nyoka kama unavyofuga mbwa)
Kwahiyo hiyo siyo kwamba nyoka haumi watoto wadogo. Nyoka anang'ata yeyote pale anapohisi hatari. Haangalii mtoto au mtu mzima.

Au unadhani wakati inachukuliwa hicho kipande cha video hawakujua au hawakuangalia tangia mwanzo kama nyoka huyo ana hatari au lah?
Akili kumkichwa Sheikh. Nyoka ni wanyama wa mwituni, atashambulia popote pale atakapo hisi hatari.
 
View attachment 3413021
Na mkishaipata hiyo sababu Kubwa ndiyo mtajua na kuamini kuwa kwanini ukitaka Kubarikiwa haraka na Mwenyezi Mungu basi uwe unapenda mno kutoa Sadaka kwa Watoto kwani ile Asante yao / Shukran zao ni Baraka na Ulinzi tosha Kwako na Mimi kwa 90% ndiyo huwa nafanya kila Maulana / Mola akinijaalia Uchumi mzuri / Fursa au Nafasi.
Itakuwa huyo nyoka siyo mali ya ccm huyo
 
View attachment 3413021
Na mkishaipata hiyo sababu Kubwa ndiyo mtajua na kuamini kuwa kwanini ukitaka Kubarikiwa haraka na Mwenyezi Mungu basi uwe unapenda mno kutoa Sadaka kwa Watoto kwani ile Asante yao / Shukran zao ni Baraka na Ulinzi tosha Kwako na Mimi kwa 90% ndiyo huwa nafanya kila Maulana / Mola akinijaalia Uchumi mzuri / Fursa au Nafasi.
Nyoka ni mnyama mtakatifu tofauti na habari ya picha iliyoandikwa kwenye biblia

Nyama ya nyoka ni nyama Bora Sana na wanaokula nyama hiyo Huwa na akili nyingi Sana na huoshi miaka mingi tofauti na dini nyingi na makabila yanavyokataza kula nyama yake

Nyoka humngata mtu mtenda dhambi hasa hasa Ile dhambi aliowafumania adamu na eva wakiifanya baadaye wakamsingizia yeye kwenye utetezi wako.

Kwa kuwa mtoto mdogo hafanyi dhambi hasa hasa uasherati hawezi kungatwa na nyoka

Lakini kwa mtu mzima ana uwezo wa kunusa dhambi zako hasa majanaba mbalimbali uyafanyayo kwa kificho yeye huyaona wazi na kwa hasira hukungata na kulumwagia venom yake ili ufe kwa kukiuka maagizo ya Mungu
 
Story za vijiwen ndo hizi ..... so hii ndo sababu ya kitaalam....
 
View attachment 3413021
Na mkishaipata hiyo sababu Kubwa ndiyo mtajua na kuamini kuwa kwanini ukitaka Kubarikiwa haraka na Mwenyezi Mungu basi uwe unapenda mno kutoa Sadaka kwa Watoto kwani ile Asante yao / Shukran zao ni Baraka na Ulinzi tosha Kwako na Mimi kwa 90% ndiyo huwa nafanya kila Maulana / Mola akinijaalia Uchumi mzuri / Fursa au Nafasi.
Alafu the snake is very venomous snake ... 🐍 🙄 angeweza mmaliza nawala wazazi wasingejuwa nn kimetokea.
 
Labda nikujibu kwa ufupi mkuu.
Hiyo video imechukuliwa au imeandaliwa na watu wazima, siyo kwa bahati mbaya.
Imendaliwa makusudi baada ya kuona nyoka huyo hana hatari (wote tunajua wapo nyoka hutolewa meno, wengine hufuga nyoka kama unavyofuga mbwa)
Kwahiyo hiyo siyo kwamba nyoka haumi watoto wadogo. Nyoka anang'ata yeyote pale anapohisi hatari. Haangalii mtoto au mtu mzima.

Au unadhani wakati inachukuliwa hicho kipande cha video hawakujua au hawakuangalia tangia mwanzo kama nyoka huyo ana hatari au lah?
Akili kumkichwa Sheikh. Nyoka ni wanyama wa mwituni, atashambulia popote pale atakapo hisi hatari.
Kwahiyo tayari 🐍 wamemtoa meno ndio maana mtoto amchezea ewiiiiii!
 
Back
Top Bottom