aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 8,724
- 24,474
Hizo ni stori za vijiweni mkuu hakuna utaalam wowote kwenye jibu la jamaaStory za vijiwen ndo hizi ..... so hii ndo sababu ya kitaalam....
Hizo ni stori za vijiweni mkuu hakuna utaalam wowote kwenye jibu la jamaaStory za vijiwen ndo hizi ..... so hii ndo sababu ya kitaalam....
MdioStory za vijiwen ndo hizi ..... so hii ndo sababu ya kitaalam....
Huyo siyo nyoka hatari mkuu. Na hiyo video imechukuliwa makusudi si bahati mbaya.Kwahiyo tayari 🐍 wamemtoa meno ndio maana mtoto amchezea ewiiiiii!
Acha uoga mkuu, angekuwa very venomous snake wala wazazi wasingeruhusu mtoto asogee hapo na kuanza kuchukua video.Alafu the snake is very venomous snake ... 🐍 🙄 angeweza mmaliza nawala wazazi wasingejuwa nn kimetokea.
🤣🤣 lugha inyotumika kwenye hiyo video hujaitambua?Clip ina sekunde 27 tu,
Pengine huyo Nyoka alimuuma huyo mtoto kwenye sekunde ya 40 huko.
Mkuu,nipo sehemu ambayo siwezi kuwasha sauti,nimeiangalia clip bila sauti.🤣🤣 lugha inyotumika kwenye hiyo video hujaitambua?
Kwenye video kuna demu anataja namba yake. Weka sauti umsikieMkuu,nipo sehemu ambayo siwezi kuwasha sauti,nimeiangalia clip bila sauti.
View attachment 3413021
Na mkishaipata hiyo sababu Kubwa ndiyo mtajua na kuamini kuwa kwanini ukitaka Kubarikiwa haraka na Mwenyezi Mungu basi uwe unapenda mno kutoa Sadaka kwa Watoto kwani ile Asante yao / Shukran zao ni Baraka na Ulinzi tosha Kwako na Mimi kwa 90% ndiyo huwa nafanya kila Maulana / Mola akinijaalia Uchumi mzuri / Fursa au Nafasi.
Chatu mdogo uanauma vip?chatu shambulio lake sio kung'ata,hana sumuNyoka ni mnyama mtakatifu tofauti na habari ya picha iliyoandikwa kwenye biblia
Nyama ya nyoka ni nyama Bora Sana na wanaokula nyama hiyo Huwa na akili nyingi Sana na huoshi miaka mingi tofauti na dini nyingi na makabila yanavyokataza kula nyama yake
Nyoka humngata mtu mtenda dhambi hasa hasa Ile dhambi aliowafumania adamu na eva wakiifanya baadaye wakamsingizia yeye kwenye utetezi wako.
Kwa kuwa mtoto mdogo hafanyi dhambi hasa hasa uasherati hawezi kungatwa na nyoka
Lakini kwa mtu mzima ana uwezo wa kunusa dhambi zako hasa majanaba mbalimbali uyafanyayo kwa kificho yeye huyaona wazi na kwa hasira hukungata na kulumwagia venom yake ili ufe kwa kukiuka maagizo ya Mungu
Alafu the snake is very venomous snake ... 🐍 🙄 angeweza mmaliza nawala wazazi wasingejuwa nn kimetokea.
Wewe ndiyo umejibu kitaalamu.siyo wale wahuni wanaotoa sababu za kihunihuni.Huyo sio nyoka hatari mkuu... ni african rock python mdogo....yaani chatu mdogo mara nyingi chatu huwa aggressive kwa kitu ambacho anaona kabisa anakuweza sasa huyu ni chatu mdogo sana ...so pengine hapo kashiba ....pia nature ya chatu kwa binadamu huwa sio aggressive kwa binadamu..... hasa huyu african rock python ni wapole pia very shy kwa binadamu kumbuka pia hawana sumu yeyote ile
Ila ipo 1 recorded event south africa the largest african rocky python alikula mtoto wa shule ....kumbuka huyu alikuwa mkubwa sio kama hako kadogo kachatu
Ila kuna chatu wakorofi na huwa wanakula watu visa vingi viko recorded anaitwa reticulated python ..hawa wako Indonesia na ndo longest in the world yaani kwa urefu pia wana uzito wa kilo 150 hadi 200... hawa wana visa vingi vya kula watu ....ingia mtandaoni utaona video zao wakiwa watu watolewa kwenye matumbo yao... huyu nyoka alwatan kwa kula watu
Tukija anaconda nae kama african rocky python wapole kwa binadamu hakuna recorded event amekula mtu yaani hana record hata moja documented kala mtu mara nyingi binadam kwake sio chakula hayupo kwenye menu list ..mara nyingi yeye hula mamba wadogo wanaitwa caiman na panya wakubwa wanaitwa kapibala
Hope nimekusaidia