Now and then
JF-Expert Member
- Dec 19, 2024
- 613
- 1,729
Huwezi kujua siri ya kitandani sisi wanaume tunakufa na mengiKwa kumuangalia tu Mke Mkubwa wa Job Ndugai , unaona kuwa alikuwa akimtegemea mume wake ili kuishi.
Ila bahati mbaya Mke mkubwa hatambuliki serikalini.
Hivyo kwa umri wake anahitaji kutunzwa, kwa ukaribu kiafaya , kimwili, kiakili na kiroho.
Hivyo nawaomba viongozi wa Serikali kuhakikisha huyu Mama anapewa mahitaji ya msingi na kupewa Mali na kuhudumiwa vizuri .
Nachojua mke wa pili wa Ndugai yeye ni mtumishi wa umma hivyo yeye maisha kwake hata sio tatizo.
Hivyo haijalishi marehemu alisema nini au aliandika nini Ila lazima tuzingatie ubinadamu dhidi yetu.
Wametengana miaka Ishirini iliyopita utasemaje alikuwa anamtegemea kuishi!Kwa kumuangalia tu Mke Mkubwa wa Job Ndugai , unaona kuwa alikuwa akimtegemea mume wake ili kuishi.
Ila bahati mbaya Mke mkubwa hatambuliki serikalini.
Hivyo kwa umri wake anahitaji kutunzwa, kwa ukaribu kiafaya , kimwili, kiakili na kiroho.
Hivyo nawaomba viongozi wa Serikali kuhakikisha huyu Mama anapewa mahitaji ya msingi na kupewa Mali na kuhudumiwa vizuri .
Nachojua mke wa pili wa Ndugai yeye ni mtumishi wa umma hivyo yeye maisha kwake hata sio tatizo.
Hivyo haijalishi marehemu alisema nini au aliandika nini Ila lazima tuzingatie ubinadamu dhidi yetu.
HayakuhusuKwa kumuangalia tu Mke Mkubwa wa Job Ndugai , unaona kuwa alikuwa akimtegemea mume wake ili kuishi.
Ila bahati mbaya Mke mkubwa hatambuliki serikalini.
Hivyo kwa umri wake anahitaji kutunzwa, kwa ukaribu kiafaya , kimwili, kiakili na kiroho.
Hivyo nawaomba viongozi wa Serikali kuhakikisha huyu Mama anapewa mahitaji ya msingi na kupewa Mali na kuhudumiwa vizuri .
Nachojua mke wa pili wa Ndugai yeye ni mtumishi wa umma hivyo yeye maisha kwake hata sio tatizo.
Hivyo haijalishi marehemu alisema nini au aliandika nini Ila lazima tuzingatie ubinadamu dhidi yetu.
Basi huyu mama sio mzima 🤣 niliona kiclip anahojiwa anasema ndugai hajawah kuoa kwahiyo yeye ndo mke halali hatambui mwengine.Wametengana miaka Ishirini iliyopita utasemaje alikuwa anamtegemea kuishi!
Ndugu kuna wajane wengi sana wa watu maskini hawajui wanalala wapi au kula nini sijui kwanini unamwonea huruma mjane wa kigogo mfujaji wa mali za Umma!!!Kwa kumuangalia tu Mke Mkubwa wa Job Ndugai , unaona kuwa alikuwa akimtegemea mume wake ili kuishi.
Ila bahati mbaya Mke mkubwa hatambuliki serikalini.
Hivyo kwa umri wake anahitaji kutunzwa, kwa ukaribu kiafaya , kimwili, kiakili na kiroho.
Hivyo nawaomba viongozi wa Serikali kuhakikisha huyu Mama anapewa mahitaji ya msingi na kupewa Mali na kuhudumiwa vizuri .
Nachojua mke wa pili wa Ndugai yeye ni mtumishi wa umma hivyo yeye maisha kwake hata sio tatizo.
Hivyo haijalishi marehemu alisema nini au aliandika nini Ila lazima tuzingatie ubinadamu dhidi yetu.
Malii malii malii ndugu yangu kama anasema Ndugai hajawahi kuoga na yule aliemtambulisha Bungeni ni nani? Ndugai amemtambulisha Fatma ni mkewe na kumbukumbu zote za kiserikali zinaonyesha hivyo wewe ni nani wa kubisha?Basi huyu mama sio mzima 🤣 niliona kiclip anahojiwa anasema ndugai hajawah kuoa kwahiyo yeye ndo mke halali hatambui mwengine.
Wakati huo sijajua kama kuna bi fatma sasa mtu mliachana 20 yrs back unapata wapi nguvu za kukaa mbele ya waandishi kujitutumua 😳
Picha yake tumuone kama kweli anastahili kutunzwa na hela zetu sisi walipa kodi.Kwa kumuangalia tu Mke Mkubwa wa Job Ndugai , unaona kuwa alikuwa akimtegemea mume wake ili kuishi.