Naomba Serikali itumie hekima kumsaidia Mke Mkubwa wa hayati Job Ndugai

ccm huwa inatabia ya kuwasaidia wapinzani wenye majanga binafsi ninaamini hata huyu mama hawatamtupa
 
ccm huwa inatabia ya kuwasaidia wapinzani wenye majanga binafsi ninaamini hata huyu mama hawatamtupa
 
Sio miaka 20 tu,ni zaidi ya 20,huyo mke mdogo na ndugai wana mtoto mkubwa kabisa ni dr,hata sielewi kwanini mke mkubwa ambaye walitengana miaka yote hiyo alipohojiwa akadai hajui kama ndugai alioa yy ndie mkewe,bi mkuu alishaleta interest za utata,baada ya kugundua kwenye next of kin lipo jina la mke mdogo ndio zimeanza kauli za aonewe huruma 😀
 
Machawa hadi kwenye mali mgawanyo z watu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Dahhhh
 
Mke mkubwa ndio mwenye watoto .........kwa mujibu wa bandiko ..............lakini mdogo kitu kilikataa kunasa.........
 
We msukule kamtunze wewe
 
Naomba video clips za mke mkubwa wa marehemu Job Yustino Ndugai au links zake !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…