Naomba sifa za wanawake wenye tabia ya kuona aibu

Duuh kweli una aibu, sema kwenye swala la kukaa uchi bila aibu inafikia umri fulani sio issue sana kama mwanzoni ukifkika late 20s unaanza kuzoea hata kukaa na wenzio na kichupi..

Loh! Basi mie nitakuwa sipo normal manake suala la kukaa uchi halijawahi kuzoeleka
Lakini nasikia wanasema mtu akizaa anazoea
 
wanaume bana, nyie ndio sikuhizi mkitongoza mtu maa mbili ya 3 unaona anakuchelewesha utaweza mumilia wa aina hiyo? maana siku hizi bila kufanana na malaya uankufa singo
Mimi nilimtongoza mmoja kazikubali saundi zangu vzr, mwisho wa siku ananiambia, kaolewa, nilimtema Saa hiyo hiyo, bila kupepesa macho.

Tena naona ananifatilia mwenyewe, na Mimi Sina taim naye Tena, naona Sasa kama anafosi nirudie kumtongoza na mie sijali hili Wala lile Niko bize Wala simbembelezi Tena Yani kifupi ndo imeisha hiyo Sina taim naye Tena atafute wengine.

MIMI SIJARIBIWI.
 
kumbe!!🥴
Sifa nyingine 👇.

Kama hujazoeana na mwanamke mwenye aibu basi style mtakayotumia kudinyana ni ile ya wewe (mwanaume) kuwa juu, na yeye (mwanamke) kuwa chini. Mkizoeana mwaweza kudinyana kwa style ANUWAI ikiewo ile ya 'popo kuinyea mbingu' pamoja na ile ya 'Iran yamuonya Israel'.

Joanah
 
Loh! Basi mie nitakuwa sipo normal manake suala la kukaa uchi halijawahi kuzoeleka
Lakini nasikia wanasema mtu akizaa anazoea
utazoea tu, ukizaa lazima utakuja kuzoea coz kule labor uchungu ukikukamata vizuri ukaanza kupiga round uchi wodi nzima,bado doctor wa kiume hajakupima njia na madole yake, pia hauingii na nguo, utaweza vizuri tu!
 
dahh ndio zikoje hizo, tutoe ushamba basi 😆
 

Nina aibu lakini sio chumbani bro,wewe cha kufanya chumbani nipe giza tu ( iwe usiku ama alfajiri kabla ya hakujakucha)

Hizo styles zote anazipata

Ukiwasha taa hunipati wallah!
 
Mkuu weka vdo clip ili nielewe kwa usahihi zaidi.
 
wanaume bana, nyie ndio sikuhizi mkitongoza mtu maa mbili ya 3 unaona anakuchelewesha utaweza mumilia wa aina hiyo? maana siku hizi bila kufanana na malaya uankufa singo
Kumbe mnapenda kubembelezwa sasa mara ya kwanza mbona mnakataa mixer kuruka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…