Naomba tafsiri ya ndoto ya kuachwa na ndege kisa kusahau passport

Plus i am not a forgetful person
 
Usipobadilika sahau kuhusu kwenda mbinguni
Wewe ni muhaya?
I miss u, chuga girl
 
Natambua hilo
Huwa naota na asbh sikumbuki vya kueleweka js pieces
This feels different
Nakumbuka, i was struggling in the dream na sijasikia alarm na snoozes zote
Kutozingatia ndoto ama kuzipuuza ni moja ya sababu kubwa ya watu kusahau ndoto wanazoota, umesema umekuwa ukiomba ueleweshwe ulipo kwenye maisha hata kupitia ndoto ambapo hiyo inaitwa dream incubation. Sasa ndoto huwa zinatabia ya kukuza jambo au kuleta ndoto za kutisha na lengo ili kupata attention yako na hufanya hivyo ili kuonyesha umuhimu wa ujumbe uliyopo kwenye ndoto kuhusiana na kinachoendelea kwenye maisha yako wakati huu au hufanya hivyo baada ya kuona unapuuza ndoto unazoota ambapo ndani kuna huo ujumbe.
 
Uko sahihi
Ni vile nimetatizika
Ninaloombea halifanani na ndoto na sijui nifanyeje
Natafsiri kidogo kadri ninavyopata ujuzi ila bado nina kiu ndani yangu
 
Labda. Ila mimi sitilii maanani ndoto yoyote naziacha tu zipite. Nahisi kama kufatilia ndoto ni kama ushirikina flani hivi
We ni mkristo? Unayesoma biblia yako vizuri?
 
Hio ndoto maana yake “you missed an opportunity” na ndiomana ulijiskia huzuni! Kuna tatizo kwenye maisha yako (Spiritually) zidisha sana ibada pia kama ni Muislam search on google Tafsiri ya hio ndoto in Islam upate ufafanuzi zaidi
 
Ndoto yeyeto unayoikumbuka mwanzo mwisho au inayojirudia rudia huwa ni ujumbe maalumu kwako, tafuta tu watu wenye uwezo wa kufungua codes wakupe meaning
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…