Naomba tafsiri ya ndoto ya kuachwa na ndege kisa kusahau passport

Kwahiyo huwa unapanda ndege? Maana wengine hata kuigusa hatujawahi
 
Ina maanisha uta miss opportunity kubwa Maishani Mwako kwa uzembe

Funga omba sana kuepuka hilo
 
Jamaa washakukosa huwa unatoaga sadaka nini kuota umesahau passport ndio kheri yako kuliko ungesafiri halafu ukapoteza passport ingekua ni sawa na kuzitupa akili mazima zidisha maombi
 
Uko sahihi
Ni vile nimetatizika
Ninaloombea halifanani na ndoto na sijui nifanyeje
Natafsiri kidogo kadri ninavyopata ujuzi ila bado nina kiu ndani yangu
Ndoto huwa ni kama story yenye kuhusu maisha ya mtu husika na ndoto huwa ina lugha yake mfano kuna symbol, metaphor, exaggerated emotions n.k

Kwahiyo hapo vitu kama ndege,passport ni symbols unakuta zimetumika kwa sababu ya uhusiano na hivyo vitu kwenye maisha yako halisi, na huko kushindwa kusafiri na kusahau passport ni action metapohors hizo na mwishoni kuna emotions wakati wakati wa ndoto yenyewe na hadi ulipoamka jinsi ulivyojisikia zote ni dream language.

Ukiona haujaelewa tafsiri ya ndoto yako omba tena ueletewe ndoto nyengine ambayo iwe nyepesi kuelewa ujumbe wake.
 

Ndoto ni mqbqkia ya mawazo yetu tu, hazina maana kama ya kutqbiri mengi zaidi ya kutuonesha tunachiwqza sana na kubaki nacho kwwnye subconscious mind.

Kama wewe ukivyojielezea na hiyo ndoto ni sawa sawa. Kwa sababu wewe ni planner. Kila mara unafikiria mambo gani hayataenda sawa iki uyahawi.

Hiyo ndoto inaonesha unafikiria sana kujiandaa na safari na kuhakikisha mambo yako yako sawa.

Ku plan ahead. Kujua mapungufu mapema.

Which is a good thing.

Pia inawezekana uliona habari fulani, au kitu fulani kinachohusiana na safari, hususan za ndege, na watu kuchelewa kilichochochea ndoto hii.
 
I agree
Sema rafiki yangu we Atheist
Ungeamini Mungu ungekuwa na picha flani
Imani ndio zinanitatiza hapa
Nimeshindwa kupuuzia kama ndoto zingine
 
I agree
Sema rafiki yangu we Atheist
Ungeamini Mungu ungekuwa na picha flani
Imani ndio zinanitatiza hapa
Nimeshindwa kupuuzia kama ndoto zingine
Mungu hayupo, ndiyo maana una maswali yote haya.

Angekuwapo angekupa majibu kabla ya maswali.
 
Ina maanisha uta miss opportunity kubwa Maishani Mwako kwa uzembe

Funga omba sana kuepuka hilo
Naomba rehema za Mungu
By nature mi si mzembe ndio mana imenipa mtihani ina maana gani
 
Labda. Ila mimi sitilii maanani ndoto yoyote naziacha tu zipite. Nahisi kama kufatilia ndoto ni kama ushirikina flani hivi
Unaona ni ushirikina kwa sababu ya aina watu wetu wenye kudai wanatafsiri ndoto na jinsi wanavyozichukulia na kuzitafsiri hizo ndoto, waafrika huku kwa sana watu wa kutafsiri ndoto unakuta waganga, na baadhi ya viongozi wa dini ila kwa wenzetu unakuta wanasaikolojia ndio hasa hutafsiri ndoto na hutumia ndoto wanazoota wagonjwa wao ili kuwasaidia zaidi.
 
Okay wajua kuhusu ndoto ambazo watu waliota katika Biblia na impact yake?
Je wasingetafuta tafsiri?


Angalia mifano hii
 
Hio ndoto maana yake “you missed an opportunity” na ndiomana ulijiskia huzuni! Kuna tatizo kwenye maisha yako (Spiritually) zidisha sana ibada pia kama ni Muislam search on google Tafsiri ya hio ndoto in Islam upate ufafanuzi zaidi
What have i missed
I cant decode
Bado najiuliza
 
Mimi sitafatilia za kwangu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…