NAOMBA TOFAUTI KATI YA UTAWALA WA CCM NA UTAWALA WA MKOLONI MWEUPE

Kachina95

Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
62
Reaction score
211
Wana jamvi, naomba mnisaidie tofauti ya CCM na makaburu walau kwa mambo yafuatayo;
1. Ni jambo gani baya sana mkoloni mweupe alitufanyia watanganyika ambalo CCM hajatufanyia?
2. Ni mambo gani mazuri CCM inafanya ambayo mkoloni alishindwa kutufanyia mpaka ikatubidi kumfukuza?
Binafsi maswali haya yananifanya nijiulize kati ya mkoloni na CCM yupi mtawala mwenye uafadhali kwa wananchi?
 
Rangi zao. Actually ni AFADHALI YA MKOLONI
 
Back
Top Bottom