Ukitengeneza mazingira ya kipondo utapewa tu. Mtu anayechukia kupigwa hawezi kutengeneza mazingira ya kupigwa.Baba mimi nitavumilia njaa, dhiki, ugonjwa na mengine ila sio kipondo aisee mambo ya kutiana ulemavu kwa makususi nimekataa kabisa bora tu nikae mbali kama ulivyosema
Kuna kipigo cha kughafirika hata wewe ukiangalia unaona kabisa hapa mwenzangu alifika mwisho lakini kuna vile ambavyo ukimuangalia mpigwaji unaona kabisa huyu alikusudia kuua au kumtia mwenzie ulemavuKwa hiyo kumbe yeye anazungumzia kibano kikubwa. Mi nilifikiri kibano chochote maana wanawake wengine wanasema: 'mumeo akikuinulia mkono ondoka'!!
Bwana utajua mwenyeweOh yeah?
Joyce anashurutisha wanawake wajiachishe kama yeye wanapoona ndoa ina tatizo lolote!
Joyce Kiria ni nani wa "kushauri" watu wajiachishe?
Ni kichaa tu anaeamini ndoa ikipata "tatizo" ni kuachana as per Kiria..
With that stupid belief,Tanzania nzima 100% divorce rate itakuwepo maana hakuna ndoa yeyote isio na "tatizo"!
Kama hayo "matatizo" hamyajui,mnashauri nini sasa?
Maana mwenye kujua hayo "matatizo" na uzito wake ni mwenye ndoa mwenyewe,nyie mnashauri nini wakati hamyajui hayo "matatizo" na uzito zake to begin with?
Joyce kiria effectsKwa hiyo unataka awaambie wavumilie manyanyaso ili kifo kiwakute wakiwa ndani ya ndoa?
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kama choo cha wapi? Ila ni kweli kwamba wanawake wote wanaopigwa wana midomo kama vyoo vya stendi? Huamini kuwa kuna wanaume ambao ni wanyanyasaji tu hata uwaheshimu? Hata sisi wanawake ni binadamu kukosea kupo na hata ninyi mnakosea pia...mwanaume mwenye upendo na mkewe kipigo huwa ni option ya mwisho kabisa au haipo kabisaUkitengeneza mazingira ya kipondo utapewa tu. Mtu anayechukia kupigwa hawezi kutengeneza mazingira ya kupigwa.
Kuna wanawake hata huoni sababu hata ya kumfokea tu achilia mbali kumpiga maana anakuwa so submissive kiasi unazidi kumpenda tu like fine wine.
Unakutana na mtu domo chafu kama choo cha stendi...kitu kidogo kashafyetuka puuuh mitusi kama yote. Mie ni mvumilivu ila sio kwa mtu asie na nidhamu.
Huyo mwanaume ndie mimi sasa, kukupiga ni jambo la mwisho kabisa mrembo wangu πππ![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kama choo cha wapi? Ila ni kweli kwamba wanawake wote wanaopigwa wana midomo kama vyoo vya stendi? Huamini kuwa kuna wanaume ambao ni wanyanyasaji tu hata uwaheshimu? Hata sisi wanawake ni binadamu kukosea kupo na hata ninyi mnakosea pia...mwanaume mwenye upendo na mkewe kipigo huwa ni option ya mwisho kabisa au haipo kabisa
Unasema hivi sasa hivi nikiingia ndani vipigo asubuhi mchana na jioni. Ila nikuambie tu mimi huniwezi[emoji16][emoji16] ukijitia una mkono mwepezi nitakupigaaa kama sikujuiHuyo mwanaume ndie mimi sasa, kukupiga ni jambo la mwisho kabisa mrembo wangu [emoji7][emoji7][emoji7]!
Wanyanyasaji wapo ila kwa uchache sana tofauti na wanaopiga tokana na makwazo ya mwanamke. Mwanamke sijui kasaliti, mwanamke kajibu kauli za chooni, mwanamke haambiliki!
Hahahah hivi nyie wanawake wa Mbeya mnajiamini nini πππ au unataka mishono kama mpira wa Rugby π mi kimsingi sijawahi kupiga mwanamke ila siku nikisema napiga ujue naiona milango ya keko ile pale.Unasema hivi sasa hivi nikiingia ndani vipigo asubuhi mchana na jioni. Ila nikuambie tu mimi huniwezi[emoji16][emoji16] ukijitia una mkono mwepezi nitakupigaaa kama sikujui
[emoji16][emoji16][emoji16] sisi sio watu wa mchezo mchezo. Utakayekuwa na mishono hiyo ni wewe sio mimiHahahah hivi nyie wanawake wa Mbeya mnajiamini nini [emoji23][emoji23][emoji23] au unataka mishono kama mpira wa Rugby [emoji458] mi kimsingi sijawahi kupiga mwanamke ila siku nikisema napiga ujue naiona milango ya keko ile pale.
Af unakuta kuna janamke linakuchokoza linajua kabisa utalipiga ila linahitaji makofi yako tu ili atulize hormones zake sumbufu!
Hahahaha hata dula makabila aliongea sana kabla hajakutanishwa na mtoto wa moro πππ[emoji16][emoji16][emoji16] sisi sio watu wa mchezo mchezo. Utakayekuwa na mishono hiyo ni wewe sio mimi
Du huyo mine itakuwa unamnyanyasa Sana sema hawezi kusema. Kwa uandishi huu endelea kumshikisha adabu tu.Nina ndoa nzuri sanaaa ya mume anayejielewa ambaye hawez kumpiga mke hata siku moja.
Mwanaume mzima na uwezo wa kuzalisha unao unaona sifa kumpiga mkeo???
Kwanini hampambani kuacha kuwapiga wake zetu na kuelimishana nyie wanaume mnajidai ohh Mungu aliumba familia.
Kama mnamuheshimu Mungu basi tii agizo lake kuhusu ndoa uone dunia itakavyokua nzuri. Sio kujustify unyanyasaji for the sake of ndoa.
Please anzisha movement ya kuelimisha wanaume wenzio wenye hiyo tabia waache Mara Moja.
Tusiandikie mate[emoji16][emoji16] jaribu siku mojaHahahaha hata dula makabila aliongea sana kabla hajakutanishwa na mtoto wa moro [emoji23][emoji23][emoji23]
Ntajaribu kukupa mimba πππ hio ndio kiboko yako HabibaTusiandikie mate[emoji16][emoji16] jaribu siku moja
[emoji16][emoji16] acha kujidanganya, mimba lazima niamue mimi kubebaNtajaribu kukupa mimba [emoji23][emoji23][emoji23] hio ndio kiboko yako Habiba
Endelea kupambana na Y chromosome![emoji16][emoji16] acha kujidanganya, mimba lazima niamue mimi kubeba
Huwa watu waliofeli wanapenda sana kushauri wenzao kufeli, huyo mama ndoa ilimshinda, alishindwa kuvumilia shida za ndoa, amejiengua na sasa kilichobaki ni kumshauri kila anayepitia changamoto za ndoa aachane na mwenzake, how pathetic!Hivi ndoa yake vipi?
Kwani tunapambana babyEndelea kupambana na Y chromosome!