ngome1838
JF-Expert Member
- Feb 20, 2019
- 2,027
- 2,490
Gharama za chini za kumiliki guest ni kiasi ganiKupangisha kwaajili ya makazi itakuchelewesha..kama uko site nzuri toboa fremi za biashara..ama igeuze iwe gest house.
#MaendeleoHayanaChama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gharama za chini za kumiliki guest ni kiasi ganiKupangisha kwaajili ya makazi itakuchelewesha..kama uko site nzuri toboa fremi za biashara..ama igeuze iwe gest house.
#MaendeleoHayanaChama
Wala sio uelewa mdogo mkuu, naheshim mawazo yako, ndio mana tunajadili, mfano wewe kwa two bedroom house yenye choo na bafu ndani uliyojenga kwa 70M, ungelirent kwa kiasi gani ?Ni ndogo sana mkuu, uwekezaji na return haviendani!, Labda ni uelewa wangu mdogo katika biashara.
Biashara ya Real estate africa ni tricky sana badala ya kufikiria nyumba ya kupangisha kawaida fikiria zaidi kuwa na small modern units mfano unit moja yenye sebule open kitchen na chumba cha kulala master kama square meter 40 mpaka 45 Kwenye compound moja unaweza kupata units 10 kwenye eneo la square meter 1000
Kama utafanikiwa kuuza kwa 70; tafuta viwanja 5 @3,000,000=15,000,000/=; Jenga viwanja 3@18,000,000= 54,0000,000; Jenga kwa awamu awamu; Lot: chumba na sebule na choo ndani; malengo kiwanja kiwe na lot 4, ila utaanza kwa lot moja moja kwanza
Nashukuru mkuu kwa ushari wakoHii biashara ni nzuri mkuu, usije kuthubutu kuuza hiyo nyumba, utajuta, kikubwa tuendelee kuvumilia tu pengine bank zitatambua biashara hii na kutoa mikopo...
Next time, nenda kanunue kiwanja eneo karibu na chuo alafu jenga chumba choo...wanafunz sio wasumbufu...
Usiuze nyumba
Mazingira inaweza kuathiri bei ya kukodisha nyumba? Kuna mtu anaweza kujenga nyumba nzuri sana ya kukodisha kwa laki 4, lakin sababu ya mazingira mkodishaji akasema atampa laki 1 ?Itategemea mazingira na mkoa uliopo
Kuwekeza kwenye real estate ni ndoto yangu sana, nina imani huu uzi utanisaidia.
Inategemea..kama una jengo tayari unataka kubadili matumizo ya ardhi nenda halmashauri utapata maelekezo.Gharama za chini za kumiliki guest ni kiasi gani
Hapa ndipo nilipoona udhaifu wa biashara hii mkuu, unatakiwa kuwa Kama umefanya kwa ajiri ya kutunza pesa na sio biashara kwa ajiri ya faida.ebu fikilia mfano umejenga nyumba yako hadi unamaliza ujenzi umetumia million 24, alafu baadae unakuja kupangisha mpangaji kwa kodi ya mwezi mfano Tsh 400,000/= kwa mwezi, hapo itakubidi usubiri miaka 6 ili uweze kwanza kurudisha million 24 zako kabla haujaanza kula faida, hapo kumbuka ni miaka 6 ili uweze kurudisha pesa yako kwanza kabla haujala faida [emoji1784]………..
Kwahio wewe ungekua unahifadhi pesa tu kupitia hio nyumba? Kwa malengo yapi?Hapa ndipo nilipoona udhaifu wa biashara hii mkuu, unatakiwa kuwa Kama umefanya kwa ajiri ya kutunza pesa na sio biashara kwa ajiri ya faida.
Bank gani wanakopesha kwa hati...mi naitaka hii haraka.Nenda katumie hiyo nyumba kukopa benk, then njoo Nungwi pub tuipangie matumizi hiyo pesa. Kufa kupo maisha ni hayahaya hakuna maisha.