Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama eneo ni zuri na nyumba ni ya kisasa,kama ulivyosema ni vyumba viwili ulitakiwa upate 450,000/- kwa mwezi...
Kama kiwanja unacho tayari hiyo 450,000/- unaweza kuanza ujenzi kidogo kidogo tena isiwe nyumba kubwa iwe tu chumba na choo chake na jiko dogo ndio nyumba zinazopata wapangaji kwa haraka...
Hakikisha hiyo kodi sio ya matumizi yako ya kilasiku haitoweza kukuzalishia nyumba nyingine..
kama huna kiwanja napo ni changamoto ,maana itabidi u save ununue kiwanja uanze kujenga ni mlolongo...
Kama anapata kodi nzuri inawezekana kabisaSijui tuwaambie mara ngapi kwamba hii ni biashara kichaa. Unless uwe unaitumia kama security au hizo hela umeziiba ila kama ndio biashara ya kukufanya ufanikiwe my friend hapo umefeli tiyari.
Uliwahi ona mtu kajenga nyumba ikazalisha hela ya kujenga nyumba nyingine ndani ya miaka kumi? Sasa tafuta biashara kama spare parts, electronics, vyakula, retail stores uone nyingine ndani ya miaka mitano inazaa biashara nyingine kama hiyo. Wewe hapo unataka umiliki nyumba nyingi kwa kutumia nyumba hiyohiyo nakuhakikishia utasubiri mpaka miguu iingie tumboni.
Yani bora umiliki bodaboda nyingi nitakuelewa kuliko kumiliki nyumba. Bodaboda inataka kitu kimoja tu, ROHO NGUMU basi. Nyumba ina forces ambazo ni gharama kuzipa control na return yake ndogo.
Yani hata ufanye nini, hutokaa uwe tajiri wa kwanza wa real estate hapa Bongo. Tunao matajiri wa mabasi, madini, mazao, kilimo, usafirishaji, n.k. Tajiri specifically wa biashara za nyumba ni nani hata mmoja tu? Kwanini asiwepo, ni kwa sababu biashara hiyo hailipi wala sio kuwa watu hawaoni fursa
Infact katumia hela sana kwa ukubwa wa hio nyumbaMkuu umelaza hela Sana!!! Kwahyo hela na faida unayotarajia yaani hata haviendani!!
Boss hii 70m nikipata Mimi nitatuta coster mbili!!
Kila siku nalaza hamsini kwa kila moja
2@50,000/= 100,000/=
Kwamwezi zifanye kazi siku 26
100,000 x 26 =2,600,000 kwa mwezi
2,600,000 x 12 = 31,200,000/= kwa mwaka
31,200,000 x 3 =93,600,000/= kwa miaka mitatu
Hapa unakuwa umerudisha mtaji unaanza kula faida!!!
Mkuu ukipata zingine tumia na hii njia!!
Hauna knowledge na hii biashara ndio maana unaona ni upuuziTo the best of my knowledge real estate inafanywa na watu walio na exess au surplus income , these can range from big corporates toddies to drug dealers
Nyumba ya kupata 450000 kwa mwezi ni nyumba ya thamani karibu 70 plus millions au zaidi. Hakuna biashara unaweza kuifanya kwa mtaji mkubwa halafu utegemee faida kiduchu na ku survive
Sasa kiwanja kinachopatikana kwa 3m kama ni Dar si anapata bagamoyo hiyo au kisarawe ndani ndani au karibu na mkuranga huko?? Sasa akijenga nyumba huko kodi si itakuwa 50k kwa mwezi na pengine pia asipate mtu wa kumpangisha. Elewa kwamba watu wanapenda kupanga karibu na mjini ambapo kwa mawazo yako kama unataka anunue kiwanja...ni bei kubwa.Kama utafanikiwa kuuza kwa 70; tafuta viwanja 5 @3,000,000=15,000,000/=; Jenga viwanja 3@18,000,000= 54,0000,000; Jenga kwa awamu awamu; Lot: chumba na sebule na choo ndani; malengo kiwanja kiwe na lot 4, ila utaanza kwa lot moja moja kwanza
Nyumba ya 70 milkions mbezi beach inakaa kwenye kiwanja cha hela ngapi?Hauna knowledge na hii biashara ndio maana unaona ni upuuzi
Kabla hujajenga nyumba kwa hii investment lazima ufanye research
Sasa mleta mada alijijengea tu.
Alijenga nyumbs ya milioni 70 mbezi beach na aliejenga kwa gharama hizo kule mbagala maji matitu hawawezi lingana kwenye returns
So mleta sijui kama alifanya calculation kabla hajaanza ujengi au ndio anaanzs sasa piga hesabu.
Real estate sio lazima uwe kampuni au drug dealer ndio uingie maans kuna kampuni kibao wana flop market inawaacha nje sababu hasakupiga hesabu zao vizuri.
Angali tu tale magorofa marefu dar pale mengi yako empty vumbi limejaa hakuja wateja serikali imekimbilia dodoma.
so hii kitu nachopendea mimi ni generational wealtg utskula wewe ns vizazi vyako.
Na jua kuwa thamani ya nyumba viwanja inapanda daily.
2004 kuna mzee mmoja alinunua eneo la hekari 4 hivi goba kwa milioni 5 tu wakati goba pori hakuna nyumba wals barabara
Lakini leo lile eneo lake akitaka kuuza hakosi 200+ m maans pakubwa sana
Tatizo mnataka faida za fasta fasta kafungue biashsra some upate faida ya Milioni moja siku ukifa na biashara hufa.
Wekezeni kwenye sure investment.
Asante mkuu kuna mambo nimeypata toka kwakoKama anapata kodi nzuri inawezekana kabisa
Mimi hapa ndio plan yangu na nimeshajenga na ina wapangaji tayaru yote na mwaka huu nakula kwanza kodi kidogo
Mwakani naanza rooms zangu hapo hapo za self eneo ambalo zinaweza toka rooms 7 bei ya chini ni 90k per room.
Na zitajengwa kwa mixing ya ile ya kwanza na salary yangu
Real estate inafanywa na MAKAMPUNI makubwa Mkuu au yakati.
Iweke Nyumba ya vizuri.
Anya Nyumba yako iwe Kwa ajili ya Waswahili au wageni kutoka nje!
Hapo ndipo biashara ilipo.
Waswahili hawana hela hiyo uweke akili ingawaje ndio wengi. Pesa zao ni pesa madafu.
Kama solo lako ni wageni kutoka nje tafuta MAKAMPUNI ya utalii uingie nayo mkataba, au MAKAMPUNI ya Real estate kubaliana nayo, alafu waachie hiyo kazi wao.
Wewe wekeana nao bei Kwa kadiri watakavyoiona Nyumba yako, kazi ya kutafuta wateja na kuendesha biashara waachie wao wenyewe.
Wewe chukua pesa yako kila baada ya mwaka au miaka.
Ukifanya mwenyewe utafanya Kwa waswahili watakaokusumbua Kodi na bado wataiharibu Nyumba yako
Nmekuelewa mkuuTo the best of my knowledge real estate inafanywa na watu walio na exess au surplus income , these can range from big corporates toddies to drug dealers
Nyumba ya kupata 450000 kwa mwezi ni nyumba ya thamani karibu 70 plus millions au zaidi. Hakuna biashara unaweza kuifanya kwa mtaji mkubwa halafu utegemee faida kiduchu na ku survive
Ati kisa security!Yaani utumie mtaji wa milioni 70 kwa kuingiza laki na nusu kwa mwezi!?seriously hivi kichwa umepewa ili unyoe kiduku tu ama ufikirie vizuri?
ceteris paribusMkuu umelaza hela Sana!!! Kwahyo hela na faida unayotarajia yaani hata haviendani!!
Boss hii 70m nikipata Mimi nitatuta coster mbili!!
Kila siku nalaza hamsini kwa kila moja
2@50,000/= 100,000/=
Kwamwezi zifanye kazi siku 26
100,000 x 26 =2,600,000 kwa mwezi
2,600,000 x 12 = 31,200,000/= kwa mwaka
31,200,000 x 3 =93,600,000/= kwa miaka mitatu
Hapa unakuwa umerudisha mtaji unaanza kula faida!!!
Mkuu ukipata zingine tumia na hii njia!!
Hata mimi nimeshangaa sana!Daah mkuu milioni 70 inaleta 450,000/- kwa miezi mitatu??
Huyo yupo hapa kupewa moyo kama ilivyo kwenye makundi ya WhatsApp.Yani mkuu kinachoshangaza na kusikitisha watu ni kuwekeza 70m af unapata 450,000 kwa miezi mitatu! It sounds crazy