UNSPECIFIED
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 792
- 2,609
Mimi wapangaji nimewapa account namba za shule za watoto, imenisaidia angalau naona faida ya nyumba .Nawaza mambo mengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia hapaKupangisha kwaajili ya makazi itakuchelewesha..kama uko site nzuri toboa fremi za biashara..ama igeuze iwe gest house.
#MaendeleoHayanaChama
Kuna mzee yeye anajenga ghorofa la wapangaji kwenye hilo eneo.Binafsi nimewahi shuhudia mtu katengeneza mtaa wa nyumba zake.ila huyu aliwekeza maana jengo tu tiliokua tunaishi inamuingizia milion 4 na kidogo kwa mwezi na alikua na nyumba nying tofaut kubwa na ndogo mtaa mzima upande nyumba zake kifupi hakosi milion 10-12 kwa mwezi kwa nyumba zake tu.nilijifunza kitu kikubwa mnooo maana nilikua najiuliza kama hapa tu anapiga zaìdi ya mil 12 kwa mwez je kama anazo zingine sehem tofauti tofauti je itakuwa anapiga kiasi gani.hadi kesho kila nikijenga najiambia ninataka kua kama yeye.nilichogundua ktk ujenzi wa nyumba za kupangisha hakikisha kiwanja chàko kikuingizie laki 7 hadi milion tafuta ramani zitazofiti na nzuri ili ukipangisha upate si chini ya laki 7 kwenda juu.pia angalia wapi uanzie kujenga usianzishe ujenzi katikati ya kiwanja pia jenga chumba sebule choo jiko ki apartment kilichokamilika achana na ujenzi wa mjumba mkubwaaaa kama unataka kujenga nyumba kubwa anza na ndogondogo mbele acha uwanja wa kujenga kubwa.usiwawekee wapangaji eneo la wazi parking only itawatosha
Sawa mkuu.Hehe, unalazimisha mfano ambao haufanani.
Interest rate ya Tanzania ni 15%, kwa hiyo kama umeweka investment ambayo haikuingizii faida ya aslimia 15 ya mtaji wako kwa mwaka, au angalau asilimia 10 basi bora uziweke hela benki.
Wewe unaingiza less than 3% kwa mwaka. Anza upya ili ujenge nyumba ya kupangisha, siyo ya kuishi watu.
Yaani, anza upya.
Aisee nimemfurahia huyo mtu mkuuBinafsi nimewahi shuhudia mtu katengeneza mtaa wa nyumba zake.ila huyu aliwekeza maana jengo tu tiliokua tunaishi inamuingizia milion 4 na kidogo kwa mwezi na alikua na nyumba nying tofaut kubwa na ndogo mtaa mzima upande nyumba zake kifupi hakosi milion 10-12 kwa mwezi kwa nyumba zake tu.nilijifunza kitu kikubwa mnooo maana nilikua najiuliza kama hapa tu anapiga zaìdi ya mil 12 kwa mwez je kama anazo zingine sehem tofauti tofauti je itakuwa anapiga kiasi gani.hadi kesho kila nikijenga najiambia ninataka kua kama yeye.nilichogundua ktk ujenzi wa nyumba za kupangisha hakikisha kiwanja chàko kikuingizie laki 7 hadi milion tafuta ramani zitazofiti na nzuri ili ukipangisha upate si chini ya laki 7 kwenda juu.pia angalia wapi uanzie kujenga usianzishe ujenzi katikati ya kiwanja pia jenga chumba sebule choo jiko ki apartment kilichokamilika achana na ujenzi wa mjumba mkubwaaaa kama unataka kujenga nyumba kubwa anza na ndogondogo mbele acha uwanja wa kujenga kubwa.usiwawekee wapangaji eneo la wazi parking only itawatosha
Ujenzi wa nyumba za kupanga unatakiwa uwe na akili kama hioktk ujenzi wa nyumba za kupangisha hakikisha kiwanja chàko kikuingizie laki 7 hadi milion tafuta ramani zitazofiti na nzuri ili ukipangisha upate si chini ya laki 7 kwenda juu
Kweli mkuu..warithi hawana shukrani.....Nenda katumie hiyo nyumba kukopa benk, then njoo Nungwi pub tuipangie matumizi hiyo pesa. Kufa kupo maisha ni hayahaya hakuna maisha mengine
safi sana,Mimi wapangaji nimewapa account namba za shule za watoto, imenisaidia angalau naona faida ya nyumba .Nawaza mambo mengine
Mi nadhan wengi hawaelewi au kutofautisha katk ya biashara na uwekezaji hasa zaid kwa kuzingatia madhumuni yake.....nimesoma comments nying sana hususan ktk nyuzi za uwekezaji ktk Real Estate.....nimegundua weng wanaangalia suala la return au faida kama ilivyo ktk duka unapouza bidhaa au uwekezaji mwngne wowote wa muda mfupi......kujenga na kuuza ni ivestment ya muda mfupi ambapo return yake unategemea iwe papo kwa hapo (ndani ya muda mfup baada ya kujenga) lakin hii ya kupangisha ni sawa na kukakabidhi bodaboda kwa kijana then unangoja per day yako....hvyo lengo inakuwa c kupata return yako haswaaa bali ni kuwa na kipato endelevu.....kwa ufup uwekezaj ktk nyumba za kupanga lengo ni kuwa na kipato endelevu (passive income)........Hii project ni nzuri, ukijenga na kuuza; kama itakuwa kupangisha, itachukua muda mrefu sana kuleta faida
Nyumba si kama nyanya kwamba itaoza....it last for generations...ebu fikilia mfano umejenga nyumba yako hadi unamaliza ujenzi umetumia million 24, alafu baadae unakuja kupangisha mpangaji kwa kodi ya mwezi mfano Tsh 400,000/= kwa mwezi, hapo itakubidi usubiri miaka 6 ili uweze kwanza kurudisha million 24 zako kabla haujaanza kula faida, hapo kumbuka ni miaka 6 ili uweze kurudisha pesa yako kwanza kabla haujala faida [emoji1784]………..
Safi sana ,hiyo itakuwa nzuri sana,ukitaka kujua uzuri wake chukua hiyo 24M nunua bond ya BOT inayomature for 6 years ulinganishe au weka kwenye mzigo flex utaona hii ya nyumba Ina faida kuzidi hizo HISA.ebu fikilia mfano umejenga nyumba yako hadi unamaliza ujenzi umetumia million 24, alafu baadae unakuja kupangisha mpangaji kwa kodi ya mwezi mfano Tsh 400,000/= kwa mwezi, hapo itakubidi usubiri miaka 6 ili uweze kwanza kurudisha million 24 zako kabla haujaanza kula faida, hapo kumbuka ni miaka 6 ili uweze kurudisha pesa yako kwanza kabla haujala faida [emoji1784]………..
Night Frank si ni kampuni ya real estate?Ujuaji unao wewe uliyetaja makampuni ya real estate na nakwambia nitajie hapa Tanzania hujui unakimbilia duniani, yeye anajenga nyumba wapi?
Umiliki wa ardhi ulivyo Japan, China au USA ndio unalinganishwa na Tanzania? Hata Kenya tu hapo mazingira ya real estate business ni tofauti kabisa kabisa na ya Tanzania, mwenye akili haitaji kuambiwa kwanini. Huwezi kufanya biashara ovyo kisa inafanyika duniani, China kule Evegrande kidogo ifirisike mwaka huu na haikurejesha dividends. Ndio kampuni kubwa ya real estate kwa China na bado ikatarajia baillout ya serikali. Property developers na real estate wa duniani usiwalinganishe na sisi. NHC hiyo hapo inabebwa na fedha za serikali ingawa pia ina uongozi mbovu.
Kabla ya kupanua akili kuzungumzia Afrika, anza na Tanzania. Hii sio new idea, nasubiri makampuni ya real estate hapa ili nisiwe mjuaji.