Naomba tuongee UHALISIA kuhusu biashara ya Real Estate kutumia mfano HAI

Kuna mzee yeye anajenga ghorofa la wapangaji kwenye hilo eneo.

GF ina appartment kama 6 hivi. Anapanda nazo mpaka floor 4.

Jumla anakuwa na appartment kama 24 hivi.
 
Sawa mkuu.
 
Aisee nimemfurahia huyo mtu mkuu
 
Kuna mzee yeye anajenga ghorofa la wapangaji kwenye hilo eneo.

GF ina appartment kama 6 hivi. Anapanda nazo mpaka floor 4.

Jumla anakuwa na appartment kama 24 hivi.
Duuh, apartment 24, atakua anakula pesa ndefu sio
 
ktk ujenzi wa nyumba za kupangisha hakikisha kiwanja chàko kikuingizie laki 7 hadi milion tafuta ramani zitazofiti na nzuri ili ukipangisha upate si chini ya laki 7 kwenda juu
Ujenzi wa nyumba za kupanga unatakiwa uwe na akili kama hio
Gharama za ujenzi pia ziwe chini
Kwa mzoefu mil 70 anatoa nyumba 2 za 350 kila moja kwa mwezi
 
Kwa laki na nusu vyumba viwili ni hela ndogo sana, labda kama location sio nzuri au la nyumba sio ya kisasa...
Kama location ingekua eneo la mjini, na nyumba ni nzuri tu , ingepaswa kua kias gan strawbella
 
Nenda katumie hiyo nyumba kukopa benk, then njoo Nungwi pub tuipangie matumizi hiyo pesa. Kufa kupo maisha ni hayahaya hakuna maisha mengine
Kweli mkuu..warithi hawana shukrani.....
 
Hii project ni nzuri, ukijenga na kuuza; kama itakuwa kupangisha, itachukua muda mrefu sana kuleta faida
Mi nadhan wengi hawaelewi au kutofautisha katk ya biashara na uwekezaji hasa zaid kwa kuzingatia madhumuni yake.....nimesoma comments nying sana hususan ktk nyuzi za uwekezaji ktk Real Estate.....nimegundua weng wanaangalia suala la return au faida kama ilivyo ktk duka unapouza bidhaa au uwekezaji mwngne wowote wa muda mfupi......kujenga na kuuza ni ivestment ya muda mfupi ambapo return yake unategemea iwe papo kwa hapo (ndani ya muda mfup baada ya kujenga) lakin hii ya kupangisha ni sawa na kukakabidhi bodaboda kwa kijana then unangoja per day yako....hvyo lengo inakuwa c kupata return yako haswaaa bali ni kuwa na kipato endelevu.....kwa ufup uwekezaj ktk nyumba za kupanga lengo ni kuwa na kipato endelevu (passive income)........

...Unaweza ongeza mawazo hapo mwana Jf
 
Nyumba si kama nyanya kwamba itaoza....it last for generations...
 
kama una pesa nenda kigamboni serikali za mtaa ferry, kishwani na maeneo jirani kamuhamishe mtu kiwanja kwa milioni kuanzia 30 jenga hostel hiyo 70ml inaweza kukufanya tajiri baada ya miaka 3 na kuendelea
 
Miezi 3-450000
Mwaka 1-1800000
Sijajua ndio unategemea hiyo kwa mahitaji au una chanzo kingine!
:Kila ukipata kodi,Boresha nyumba kuiongezea Thamani
 
Safi sana ,hiyo itakuwa nzuri sana,ukitaka kujua uzuri wake chukua hiyo 24M nunua bond ya BOT inayomature for 6 years ulinganishe au weka kwenye mzigo flex utaona hii ya nyumba Ina faida kuzidi hizo HISA.

Kumbuka faida nyingine ni kwamba una mamlaka ya kupandisha Kodi ukitaka unlike kwenye HISA huna mamlaka ya kupandisha interest.

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Night Frank si ni kampuni ya real estate?

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…