Naomba tuungane kuanzisha Vitabu vya Dini ya Waafrika

Nafikiri tungeanza na Alina mwana malundi,huko usukumani tujiulize je. Nguvuzao walizitolea wapi? Je waliamini katika Nini?

Huenda kidogo tunaanza kupata asili ya miungu yetu
 
Nafikiri tungeanza na Alina mwana malundi,huko usukumani tujiulize je. Nguvuzao walizitolea wapi? Je waliamini katika Nini?

Huenda kidogo tunaanza kupata asili ya miungu yetu
Mkuu unazungumzia dini ya Afrika

Huyo mwanamalundi hapo Kongo wanamjua? Au kongo mbali hapo Uganda wanamjua?
 
Hivyo vitabu vipo tayari. African Americans wamefanya research sana. Kwa mfano dini ya Wamisri,na unapoo gelea dini ya Waafrika mainly utakuwa unaongea kuhusu dini ya Misri,dini ya Osiris,Isis,Horus,Anubis,n.k.
Bira Shaka Sasa nikuanza kuzitafuta nakara za vitabu hivyo angalau tuanze kuzitumia Sheria moja moja
 
Mkuu unazungumzia dini ya Afrika

Huyo mwanamalundi hapo Kongo wanamjua? Au kongo mbali hapo Uganda wanamjua

Huenda asijurikane lakini habari na Visa vyake vikajurikana vipi kuhusu DINI za osiri huko egypt zinazo jurikana dunia nzima haziwezi kutufaa?

Kumbuka pia yesu alijurikana Israeli pekee lakini baada ya kifo chake Wana funzi wake wali mtangaza dunia ikamjua

Na sijui unajua mziki walio kutana nao kwenye mataifa mengine?
Stefano,Paulo,yohana, walipata shida
 
Sina mengi Ila Kuna haja ya kufikilia nje ya box 😂
 

Dini ya waafrika ndio nini
 
of what ue? Nilidhani tuungn e tutengeneze magari, ndege , baiskeli , tugundue dawa za magonjwa yanayotukabiri, etc etcza african brand, bado tu mko kwenye dini!
dawa ya kolona uligundua mpwendwa wetu magu tangawizi na swaumu
 
Asee nikuhakikishie HALITAFANIKIWA KAMWE!

Walioanzisha wote tazama walivyojitoa sadaka

Mussa, Yesu, Muhammad

Sio jambo jepesi jepesi la kukaa kikundi cha wauza mbege mkaanza kuandika
hao ulio wataja walianzisha nn?
 
Shida yote hiyo ya Nini Kwani hizo zilizoletwa umelazimishwa uzifuate ? Mbona una haki ya kuamua kutofuata yoyote
 
Hiyo osiri binafsi ndiyo kwanza naisikia leo

Enhee unaabudije, rituals je, ukitenda mema unalipwaje?
 
Kama kitabu kitakuwa tofauti na rules za uganga,hicho kitakuwa chakwako
Wewe umewaza uganga tu ndiyo akili yako ilipoishia kwa kuwa ulishakaririshwa kuwa mila za desturi za waafrika ni "wichcrafts" pasipo kujiuliza witch inamaana gani na craft ina maana gani.

Ujinga ulionaonao wewe siyo wa kuisha leo
 
Asee nikuhakikishie HALITAFANIKIWA KAMWE!

Walioanzisha wote tazama walivyojitoa sadaka

Mussa, Yesu, Muhammad

Sio jambo jepesi jepesi la kukaa kikundi cha wauza mbege mkaanza kuandika
Mimi simuamini huyo yesu wa mohamed kama wewe bwana na hata hao mambo yao yaliandikwa na jamii yao siyo mwafrika kwani wapi umeelezwa kuwa yesu,musa au mohamed walikuwa ni Waafrika?

Siongelei na htutaandika habari za wazungu wala warabu katika kitabu chetu kama wao ambavyo hawakutuandika Waafrika kwenye biblia au quruan zao.

Jiongeze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…