kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Nashindwa kuelewa kuwa hivi Waafrika tumelogwa? Unashangilia tu kusikia "kanisa la Roma" je kanisa la Afrika ni lipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa huoni kuwa umeandika ujinga? Huyo Mungu wenu mbona sasa aliwaacha waafrika nyakati zote? Unatetea upumbavu wa imani kuona kuwa huyo mungu mbaguzi alibaki na wazungu tuu akawaacha waafrika siku zote kabla? Mungu wa wazungu ni mungu wa mchongo sanaKabla ya ujio wa hizi dini waafrika walikuwa gizani wakimtafuta Mungu kupitia kuabudu vitu wasivyovijua in deep yaani nature kupitia matambiko kwa kuabudu milima, misitu, nk.
Sababu ya kuwa gizani wakimtafuta Mungu, shetani akatumia fursa hio akawamiliki kiimani akajifunua kwao kupitia mizimu , wao waliamini wanamuabudu Mungu. Kwa sababu shetani ndie mkuu wa ulimwengu, mwanadamu baada ya kutenda dhambi akatupwa duniani ambapo tayari shetani alikuwa ashatupwa duniani toka mbinguni,hali mwanadamu alitupwa toka bustani ya Eden.
Mwanadamu na shetani wote wapo duniani kwa mda mfupi sababu Dunia si makazi y kudumu kwa shetani na mwanadamu.Makazi ya kudumu ni paradiso na jehanamu.
Dunia si milele, ni temporary place, thus tunakufa mda ukifika.
Maine mwanamalundiUzuri wenzetu wana maelezo yanayojitosheleza yanayoweza tumika kujustify wakati wa kushawishi watu
Hiyo Miungu yetu sasa… hata jina hatujui
Hapo jumlisha role models
Wakristo wana Yesu, kwa Yesu wao huwaambii kitu
Waislam tuna Muhammad (pbuh)
Hutwambii kitu
Role model hawa kwetu ndiyo viigizo mtu akiishi ana strive kuwa kama Yesu au Muhammad hawa ni watakatifu
Hiyo dini ya Afrika nani mtakatifu?
Firauni? Ambaye toka tunakua tunafundishwa kuwa alikuwa na laana?
Nani atatenda miujiza ili tumwamini kweli katumwa na Miungu yetu😂
Ni unga wa ulezi tuu unatoshaTupe mapendekezo kwanza kuhusu mfumo wa sadaka tujue pakuanzia
Sent from my CPH2363 using JamiiForums mobile app
Dini zote kubwa zilizokubaliwa Dunia nzima ni kutoka middle East and Asia, yaani Ibrahim Ibrahimic RELIGIOUS BELIEFS, CHRISTIANITY, ISLAMIC AND JEWISM/JUDAISMHabarini,
Baada ya kupitia mijadala mingi humu JF na mitandao mbalimbali nimeona sasa kunaumuhimu wa kuungana sisi wenyewe Waafrika na kuanzisha dini/kanisa la Imani ya Waafrika/Washindi wa Afrika/Africa Catholic nk.
Hii ni kutokana na uwazi kuwa sasa Waafrika tumeanza kujitambua hivyo inatubidi kuweka maandiko yetu ya kiimani na kuabudu yatakayofundisha mambo mazuri na kuyaendeleza na pia mambo mabaya na kuyaacha kwa kufuata mfumo uleule wa kuzikataa dini na imani tulizoletewa na wakokoni wote kwani siyo rahisi kuzikataa pasipo kuanzisha ya kwetu.
Naomba mapendekezo yenu wote wenye nia njema na Afrika kwa kuanza na jina lipi litumike kuiwakilisha dini/imani yetu ingawa naona kabisa madhebu yetu yanaweza kuegemea koo au makabila yenye mila na desturi zilizosawa na vitabu vyetu pia vinaweza kuwa hivyohivyo i.e. kitabu cha Wasukuma, kitabu cha Wachanga, n.k
Naomba kuwasilisha.
Kitabu cha Dini ya wazungu ni kipi hicho?Uganga mbona dini zote upo.Soma kitabu cha waarabu,wayahudi,wazungu,wahindi,wachina na wajapani.Uganga upo,au wewe uganga unatafsiri vp
Iweje tuwe na Imani moja wazaramo na wanyakyusa,kwa mzaramo unaweza kuoa na kuishi na mkeo, kwa Baba mkwe, Lakini kwa wanyakyusa ni mwiko,East africa tu kuungana tumeshindwa ndo tutaweza ungana na kuwa na imani na dini moja?
Kwani Yesu aliposalitiwa alishinda? Si aliuawa msalabani au mimi ndo sijui? Hata Mwanamalundi alisalitiwa ila kifo chake pia kiliacha alama kubwa juu ya hatma yakeNature ya wanaadamu ni usaliti
Kwani Mussa hakusalitiwa?
Yesu je?
Muhammad nae?
Hao wote walisalitiwa na wakaibuka washindi sishangai kinjekitile kusalitiwa
Ikiwa yeye alitumwa na Mungu kweli alipaswa kutoboa hata kama alisalitiwa
Halafu fikra za kuona kila kitu unaonewa ni mbaya kabisa
Kila kitu unalaumu watu wewe huoni tulikosea wapi? Umefanya jitihada kwako binafsi kurekebisha?
Is your life in order? Unaabudi hiyo Miungu unayohubiri hapa?
Kama huiabudu unawezaje kukosoa wengine
Anza kuishi idea yako wewe kwanza na sisi tushawishi kwa mfano hai sio story
Yesu hakupiga story aliishi ukristo kweli
Muhammad alianza peke yake na wengine tukamfuata
Kwahiyo na wewe anza ww kwanza na kama hujasoma🤣 jua umekwisha!!!
Biblia. Unaulizaje kama usiye na kichwa?Kitabu cha Dini ya wazungu ni kipi hicho?
Kwanini kanisa na sio msikiti au Macca?Nashindwa kuelewa kuwa hivi Waafrika tumelogwa? Unashangilia tu kusikia "kanisa la Roma" je kanisa la Afrika ni lipi?
ANCOSTA PASTA MkuuKitabu cha Dini ya wazungu ni kipi hicho?
Huyo mtu alisema nini kuhusu kufanya wema?Maine mwanamalundi
Hiyo story ina mapokeo tofauti mfano Waislam hawaamini kuwa alikufa msalabaniKwani Yesu aliposalitiwa alishinda? Si aliuawa msalabani au mimi ndo sijui? Hata Mwanamalundi alisalitiwa ila kifo chake pia kiliacha alama kubwa juu ya hatma yake
Akina Stefano waliuawa na ikaisha. Sijasema Mwanamalundi ndiye Yesu wetu ila nimesema fate yake ilikuwa bora pia kama ya Yesu. Alihubiri upendo na wema pia ndo maana alipendwa. Yeye alifanya mengi maisha yake yoteHiyo story ina mapokeo tofauti mfano Waislam hawaamini kuwa alikufa msalabani
Na Wakristo wenyewe wanaamini kuwa alinyanyuliwa kwenda mbinguni either way alitoboa
Nambie kuhusu hatma ya kinjekitile
Ningeijua ningefurahi Sana ningekuwa.muunini namba moja!!Wazo zuri. Dini ya Kiafrika ipo lakini ni oral kinachotakiwa ni iwekwe katika Written.
Ndio tungeanzia dini tuje hukoof what use? Nilidhani tuungane tutengeneze magari, ndege , baiskeli , tugundue dawa za magonjwa yanayotukabiri, etc etc za african brand/flavour, bado tu mko kwenye dini!
Huyo mtu alisema nini kuhusu kufanya wema?
Matambiko? Ibada? Kuungama dhambi?
Sitashangaa ukiwa hujui