"Naomba tuzae sitakusumbua kulea." Hii haipo

umeongea ukweli kbs
 
Ilishanitokea hiyo

Mi nlimwambia sina mpango wa kuoa kwa sasa akaniambia nimpe mimba tu atalea mwenyewe

Alivyonambia ivyo kuanzia siku hiyo nikawa sipigi kavu
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu unabonyea wkt umeachiwa goli wazi ufunge kimadoido
 
Ilinitokea hiyo ,nilijiuliza maswali mengi sana magumu, mtoto atalelewa vipi bila baba, jibu nikaona naingizwa mkenge, nikapotezea

Sent
Ukute hata Zenji yenyewe huijui
 
Badae anakubadilikia na kwakua ni Siri atakutishia kwenda kumwambia mkeo,, ukijaribu kumzuia anakupa mashart ya kutekeleza kabla hajakisanua,, hapo ndo kipindi utakachoona ni dizai gan pesa inapitia kwako kama daraja tu
 
ndo inavokuwa hawa hawaji tu kichwakichwa anakuwa keshakupimia kimshahara chako kwanza ndo anakuja na hizo porojo za eti mzae tu atalea mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…