Td5 kuipeleka porini inabidi uwe unaenda nayo kistaarabu, hiyo haitaki shurba.
Kama safari zako ni za porini sana na njia mbovu inabidi uje uvue hiyo injini uweke TD200(mzee wa porini) ingawa ni ya kizamani na ina unguruma vibaya.
Nissan Patrol ama Safari ni gari imara hasa upate TD42 engine. Ila sasa bei zake zimechangamka kidogo labda ubahatishe mtu anashida zake umvue fasta
Yeah kama hii mkuu hasa upate Manual transmission.
Mwaka 2016 kuna jamaa alinipa Nissan Patrol yake nimsaidie kutafuta wateja. Nilikaa nayo for one month kabla ya kuuza. Aisee Nissan Patrol ni gari hasa na utaifurahia zaidi ukipita off road.Hizo ni chura?
Nimeitumia chura muda wa miaka 5, ilikuwa ya kazini...japo ni toleo la 1995 bado ninaipenda sana, bei ikiwa mkononi mwa mtu ni 12-15ml ikiwa na hali nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hizo defender zenyewe hazikuwahi kuwa imara kilinganisha na mpinzani wake hilux.Shukrani Boss. Gari za mzungu always comfortable and stable on road but the issue is realibity.
Mara ya kwanza nilifikiri ni gari reliable hasa kwa kuwa inashare engine moja na Land Rover Defender ila michango ya baadhi ya wadau hapo juu imesababisha nifikirie mara mbili kabla ya kuagiza
Ndio hapo sasa. Ila mbona Defender zinajulikana all over the world kwamba ni gari imara na zinadumu muda mrefu. Mimi naziweka class moja na Land Cruiser Hardtop aka MkongaHata hizo defender zenyewe hazikuwahi kuwa imara kilinganisha na mpinzani wake hilux.
Zina matatizo kibao ya kizeee ambayo hilux haisumbuagi, ipe mzigo defender kwenye njia ngumu, utaanza kutengeneza hub na excel kama vile upo na 109
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimebadili mawazo mkuu natafuta LC 80 Au hata 60 series yenye Turbo. Nimecheki video zake YouTube ni balaa kabisa hasa kwa mtu wa safari za maporini hukoNimetumia sana hizo gari za landrover , kuanzia 109 hadi zilipotoka defender , ni magari sumbufu sana , sijui hata kwa nn 109 ilipataga Jina miaka ile kwamba eti ni imara
Tena hizo discovery ndo kabisa hamna kitu, kuna siku nimemkuta jamaa limemzimikia chalinze hapo naomba msaada nikasema ngoja nimsaidie , kufungua Bonnet , ... kwanza chombo imechemsha mbaya , halafu engine leakages kibao ... nikakumbuka miaka 15 nyuma nilikuwa na deal na matatizo kama hayo kwenye 110.
Landcruiser ni best option kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ulifanikiwa kuiuza kwa sh. Ngapi mkuu?Mwaka 2016 kuna jamaa alinipa Nissan Patrol yake nimsaidie kutafuta wateja. Nilikaa nayo for one month kabla ya kuuza. Aisee Nissan Patrol ni gari hasa na utaifurahia zaidi ukipita off road.
Land rover ni gari niliyojifunzia , infact nashukuru sana kwa hilo maana ilinipa hofu na nidhamu ya salama wangu barabarani,Ndio hapo sasa. Ila mbona Defender zinajulikana all over the world kwamba ni gari imara na zinadumu muda mrefu. Mimi naziweka class moja na Land Cruiser Hardtop aka Mkonga
Niliuza kwa mil 16 boss. Ilikua ya mzee mmoja hivi mstaafu wa serikali anakaa mitaa ya masaki. Ile Nissan ilikua kali sana.Na ulifanikiwa kuiuza kwa sh. Ngapi mkuu?
Daah safi sana mkuu,ilijua Y60 or Y61?Niliuza kwa mil 16 boss. Ilikua ya mzee mmoja hivi mstaafu wa serikali anakaa mitaa ya masaki. Ile Nissan ilikua kali sana.
Ilikua Y60 kama sikosei. Jamaa niliemuuzia alifurahi sana cause alikua na the same Nissan sema ilikua imechoka kidogo so akaamua Kuongeza ya piliDaah safi sana mkuu,ilijua Y60 or Y61?
Nimekusoma mkuu,ngoja tuendelee kupambana mdogomdogo.Ilikua Y60 kama sikosei. Jamaa niliemuuzia alifurahi sana cause alikua na the same Nissan sema ilikua imechoka kidogo so akaamua Kuongeza ya pili
Yeah hizi ni gari hasa sema Hilux D4D bei yake imechangamka sana.Mzee Kigogo kwa mtazamo wangu land cruise ni namba moja kama utaiweza kwa bei na namba mbili ni hilux 1kd engine hizi ni gari ambazo wapiganaji wengi wanazitumia (vitani)
Ni gari za kiume tunasema, discovere kwa kweli sikushauri sana gari ni hizo mbili hapo.