Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Land Rover Discovery TD5

Mwaka 2016 kuna jamaa alinipa Nissan Patrol yake nimsaidie kutafuta wateja. Nilikaa nayo for one month kabla ya kuuza. Aisee Nissan Patrol ni gari hasa na utaifurahia zaidi ukipita off road.
Hiyo ni gari matata, ukiwa na masafa marefu utaifurahia, huwa ukipiga spidi kali inachutama.
Naipenda sana, nafikiria kuisaka upya
 
Hio chuma ni respect mkuu lazma nije kuinunua ikae garage kwangu kama classic ride for the Love of Land Cruisers!

Cha kufanya ningekuwa yeye ningemvua mtu hapa hapa bongo na kwa hio budget aliyonayo jamaa almost 27M inatosha kui re-new kabisa akaitwanga bull bar na BF-Goodrich za maana. Piga mufller ya uhakika ndani ma entertainment kidogo na mu uphostlery. Ikikamilika chuma inasoma namba B ila imenyooka kama imetoka dukani. Uzuri ma spare parts yake kibao na yanaingiliana na ya Toyota coaster.

Bongo 80 series zipo nyingi mbona ila kwa ilionyooka body anaipata kwa 15M tu. Engine zake ni za uhakika hata ukikuta body imechoka kwa engine ya 1Hz ni kama jeans. Hata akipata ya 1HD-FTE nayo makini sana.

Kiukweli 80 series is one of the iconic Landcruisers ever to be made mzee. Nakumbuka tulikuwa tuna cruise na moja ya kitengo kwa Mshua. Dereva wake Mr.Uledi alikuwa na mbwembwe sana akiikalia mashine anavyoipigisha kinanda stick shifter 1Hz ndani ya straight pipe mashine inamwaga mkwara mzito. Hapo akiitupa na reverse design kama anaigeuza aondoke zake sasa utapenda zilee...Peeep!!! mmh mmh mmh mmh!
 
Extrovert,
Hii ni moja kati ya series bora zaidi za Land Cruiser. Navizia Japan huwa zinatoka mara chache sana hasa be forward ama trade car view.

Shida nyingi zinakua Auto transmission kitu ambacho siwezi. Kwa gari kubwa kama hizi hasa Diesel napenda Manual gear.

Ni nzuri sana kwa Safari ndefu
 
Hiyo ni gari matata, ukiwa na masafa marefu utaifurahia, huwa ukipiga spidi kali inachutama.
Naipenda sana, nafikiria kuisaka upya
Mpaka leo najuta kwanini nilimuuzia yule jamaa.
Gari ilikua bado Iko kwenye good condition.
 
Ukitulia freshi manual unaipata mbona mkuu. Achana na hii mashine aisee
 
Nafikiria kuchukua Patrol Y60 Td42 manual,kuna mwana analiuza bei ya kawaida sana,nataka nilifungie trailer ya 2 tonnes kwa ajili ya kuingia nayo kwny mishe mishe mkuu.

Hio machine unaionaje?

Kama iko kwenye hali nzuri, engine bado inatema, hutajuta mkuu.
 
Magari ya mzungu yana macomplication kibao mpaka wanaharibu. Napenda engineering ya Mjapan kwa sababu Iko simple and reliable.
I can dance to this tune all day long...This is what made me fall in love with 80 series Japanese masterpiece!

 
Wewe ndio umesema ukweli. Mjapan ndio kika kitu kwa ss watu wa economy
Sent using Jamii Forums mobile app
 
range rover zina shida gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…