Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Land Rover Discovery TD5

Pengine budget inaweza kubana kwa kujumlisha na ushuru,
Tunaweza kuwasiliana nikakusaidia kukuonganisha na mtu ambaye yeye husaidia kulipia ushuru wa gari kish unamrejeshea kwa awamu mbili.
 
Nipe akili mkuuu hizo gari za Malawi zinapatikanaje maana naona ndizo vijana wa Mbeya, Njombe na Ruvuma wanatumia kwa sasa. Nipm ukipata Cruiser ya ukweli
 
(Td5) Turbo - Diesel - 5 cylinder power engine. Gari ya ukweli kama mfuko mzuri buy it.

kp app
 
Nipe akili mkuuu hizo gari za Malawi zinapatikanaje maana naona ndizo vijana wa Mbeya, Njombe na Ruvuma wanatumia kwa sasa. Nipm ukipata Cruiser ya ukweli
kuwa makini na hizo za Malawi, hasa ukiona zina element ya kutokea msumbiji, usije kupoteza pesa yako , za south kama zina interpol certificate chukua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Funguka vizuri mkuu uwafungue wengi macho kuhusu hizi gari za South
Ni uwe tu makini na documents, zinazopita Mozambique nyingi zinakuwa za wizi, ila zinazotoka south ukimaliza kwenye interpol report huko south uko salama
kwa wale wenye kupenda engine za 1Hd , south Africa sio msaada , zilitoka chache sana kama special order , na wengi hawajaziuza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna Land Cruiser series 80 ina engine ya 1hz inatumika kwa kazi ya kutembelea. Mwenye nayo anauza bei sawa na bure. Kama upo tayari niambie nikuunganishe naye.
 
Nipe akili mkuuu hizo gari za Malawi zinapatikanaje maana naona ndizo vijana wa Mbeya, Njombe na Ruvuma wanatumia kwa sasa. Nipm ukipata Cruiser ya ukweli
Mkuu nitakucheki ipo moja series 80 1hz engine ipo hii inatumika kutembelea.

Kuna watu kazi zao ni kuchukua gari Malawi na kuzileta Tanzania kihalali nitakuunganisha nao wapo Mbeya , Documents zote unapewa hawafanyi ujanja.
 
Mkuu kuna Land Cruiser series 80 ina engine ya 1hz inatumika kwa kazi ya kutembelea. Mwenye nayo anauza bei sawa na bure. Kama upo tayari niambie nikuunganishe naye.
I prefer 1HDT. Iko more powerful na nzuri kwa safari. Anyway anauza ngapi boss?
 
Petroli zinakuaga 4.0L V8 na Diesel zinakuaga 2.5L
 
Hilux Surf 1KD(KZN185) ni kama Prado KZJ95 hua zinachomoka tairi za mbele
 
Nimepaelewa hapo kwenye straight pipe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…